Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kadri maisha ya Watanzania yanavyozidi kuwa magumu huku viongozi wakiendelea kujinufaisha kwa fedha zinazotokana na kodi na jasho la wananchi, usishangae ndani ya kipindi cha miaka mitano hadi kumi ijayo, magaidi wakaibukia Tanzania.matukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama
hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana.
Nini kimefanyika?
maombi ya watakatifumatukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama
hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana.
Nini kimefanyika?