Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kule usukumani ina maana chief Hangaya alikuwa anakula wali kwenye kasri lake kweli?Mi sijakuelewa , unaposema wafalme ,; unamaanisha wafalme weupe (wazungu) au wote tu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule usukumani ina maana chief Hangaya alikuwa anakula wali kwenye kasri lake kweli?Mi sijakuelewa , unaposema wafalme ,; unamaanisha wafalme weupe (wazungu) au wote tu ?
Mleta mada!Wadau wenzangu wa JF & Watanzania wote
Naandika haya nikiongozwa kwa dhamira nzuri ya kueleza ukweli bila kuwa na nia ya kuwakera baadhi yenu
Sikusudii kupotosha, kukashfu, kudharau historia yetu, au makuzi yetu, au aina fulani ya chakula, kikundi fulani
kwenye jamii yetu n.k
Nazungumza chakula maarufu duniani kinachotokana na mahindi almaarufu Ugali
Nitazungumzia kwa ufupi kuhusu Ugali Chakula ambacho;
Kwa asili hakijawahi kuwa sehemu ya vyakula vinavyote gwa kwenye meza kuu ya Wafalme au Masultani!
Hakijawahi kuwa Maalumu au mahsusi kwa ajili ya wageni
Hakijawahi kuwa Maalumu au Mahsusi hata kwa ajili ya wagonjwa au walio na njaa kali
Ni chakula kinachohusishwa na Utwana au Utumwa au hali ya umasikini
Kimekosa ufahari mbele ya jamii hasa baada ya kukitumia
Kinahusishwa na udumavu wa maendeleo ya taaluma kwa wanaokitumia kwa muda mrefu tofauti na wanaotumia vyakula vinginevyo kama mpunga, ngano, shayiri, mtama, ulezi au hata ndizi n.k
Naomba kuwasilisha
Karibuni kwa mjadala
Aksanteni
Nakala: Paschal Mayala
Ugali ni mtamu sana kutegemea unakula na mboga gani. Mchicha na samaki wa kukaanga, bamia na kuku wa kienyeji wa kuchoma au nyama ya kuchoma. Ugali na dagaa na mboga za majani au bamia. Ugali oyeeeee! Mie naula sana tena naupenda sili ugali for the sake ya kula ugali tu bali naufurahia sana. [emoji39][emoji39][emoji39]
Unazungumzia wafalme wa kizungu au kiafrika?Wadau wenzangu wa JF & Watanzania wote
Naandika haya nikiongozwa kwa dhamira nzuri ya kueleza ukweli bila kuwa na nia ya kuwakera baadhi yenu
Sikusudii kupotosha, kukashfu, kudharau historia yetu, au makuzi yetu, au aina fulani ya chakula, kikundi fulani
kwenye jamii yetu n.k
Nazungumza chakula maarufu duniani kinachotokana na mahindi almaarufu Ugali
Nitazungumzia kwa ufupi kuhusu Ugali Chakula ambacho;
Kwa asili hakijawahi kuwa sehemu ya vyakula vinavyote gwa kwenye meza kuu ya Wafalme au Masultani!
Hakijawahi kuwa Maalumu au mahsusi kwa ajili ya wageni
Hakijawahi kuwa Maalumu au Mahsusi hata kwa ajili ya wagonjwa au walio na njaa kali
Ni chakula kinachohusishwa na Utwana au Utumwa au hali ya umasikini
Kimekosa ufahari mbele ya jamii hasa baada ya kukitumia
Kinahusishwa na udumavu wa maendeleo ya taaluma kwa wanaokitumia kwa muda mrefu tofauti na wanaotumia vyakula vinginevyo kama mpunga, ngano, shayiri, mtama, ulezi au hata ndizi n.k
Naomba kuwasilisha
Karibuni kwa mjadala
Aksanteni
Nakala: Paschal Mayala
Mahindi yanathamani Ila ugali hauna thamani
Binadamu bhana