Ugali ni chakula ambacho hakijawahi tengwa mahsusi kwenye meza kuu za Wafalme na Masultani, kinahusishwa na uduni wa kiuchumi

Mleta mada!

[emoji871]Ebu fanya utafiti katika shule na vyuo mbalimbali nchini na utuambie wale wanaopata ufaulu wa juu wanatokea jamii zipi kati ya wala ugali na wala wali.

[emoji871]Ukishapata jibu urudi hapa?

[emoji871]Angalia pia wasanii wakubwa nchini wametokea kabila zenye asili gani kati ya wala ugali na wala Pilau?

[emoji871]Hata wapigania uhuru wa nchi hii wengi walikuwa wala ugali.

[emoji871]Madhara ya kula Chips na huo wali mnayaona hapo kwa wanaume wa Dar es salaam.

[emoji871]Madhara ya kula ndizi tena za aina moja mmeyaona kule Rombo.

[emoji871]Pia madhara ya kula ndizi na maharage kwa muda mrefu tumeyaona kwa dada zetu kutoka Kagera.

[emoji871][emoji871]Manufaa ya Ugali tunayaona kwenye matokeo ya ushupavu wa wanajeshi wetu popote pale walipo.
 
Mahindi yanathamani Ila ugali hauna thamani

Binadamu bhana
 

Wa ambie uko New York City na still unakula na kuufurahia

Ila wao wako buza wa autism
 
Unazungumzia wafalme wa kizungu au kiafrika?
 
Mpaka sasa mleta mada hajawekwa lock up? Intelligence yetu ni hafifu sana
Mtu hawezi kuleta dharau kama hizi tunamuacha uraiani anatamba hadi leo[emoji23][emoji23]
 
Ugali ni lichakula lisilo na swagger. Halina ladha wala nini, tupia huko kwa mifugo
 
Ugali upunguza uwezo wa kufikiri. Jamii zote zinazokula ugali huwa ni dull.
Ndizi na ngano uleta brain
 
Mahindi mabichi yana virutubisho vingi kuliko ugali, pia sio rahisi kula mahindi mengi kama ugali ukapatwa na kiribatumbo.
Mahindi yanathamani Ila ugali hauna thamani

Binadamu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…