Ugali sahani mbili kaka unajimudu

Ugali sahani mbili kaka unajimudu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jana muda wa lunch nilikuwa city centre. Kuna mama ntilie anauza chakula kitamu sana pale city. Licha ya machalari, chapati kuku wa kienyeji na mchicha huwa ninapenda maharage yake ya nazi yanachanganywa na dagaa wakavu.

Basi jana muda wa kula aliingia kijana mmoja hivi. Akiwa na uniforms inaonekana ni bank telly was bank moja kubwa hapa mjini. Alivaa koti kustiri shati lakini wambea tulistuka. Nikaangalia tarehe nikahungundua kuwa ni zile tarehe ambazo wote mjini tunaheshimiana.

Kaka aliagiza ugali mchicha na samaki wa kukaanga. Aliletewa sato medium size hivi, alimpiga tararibu kutahamaki anaagiza ugali sahani ya pili. Umri wake utakuwa 28-30 yrs na umbo lake la kawaida sana, hana hata kitambi.

Nimekupigia salute kijana
 
'umbo lake la kawaida sana' waogope sana hawa kwa kuficha msosi...
 
Mh! Kwa ugali ule wa mama ntilie?! Karibu kwangu, nikipika ugali kilo 1 nagonga hata ukiwa mkavu, karibu siku moja uje ujionee
 
Back
Top Bottom