Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Jana muda wa lunch nilikuwa city centre. Kuna mama ntilie anauza chakula kitamu sana pale city. Licha ya machalari, chapati kuku wa kienyeji na mchicha huwa ninapenda maharage yake ya nazi yanachanganywa na dagaa wakavu.
Basi jana muda wa kula aliingia kijana mmoja hivi. Akiwa na uniforms inaonekana ni bank telly was bank moja kubwa hapa mjini. Alivaa koti kustiri shati lakini wambea tulistuka. Nikaangalia tarehe nikahungundua kuwa ni zile tarehe ambazo wote mjini tunaheshimiana.
Kaka aliagiza ugali mchicha na samaki wa kukaanga. Aliletewa sato medium size hivi, alimpiga tararibu kutahamaki anaagiza ugali sahani ya pili. Umri wake utakuwa 28-30 yrs na umbo lake la kawaida sana, hana hata kitambi.
Nimekupigia salute kijana