Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu


Sasa tumechoshwa maana kila siku kunazaliwa jipya.
 
Hahaha...ni hivii hiyo fungus inatokea pale ambapo mahindi au nafaka yoyote itakuwa inavunda,yaani isipoanikwa juani mara kwa mara.
 
Mura wenzako tulishaishtukia DONA kitambo hatuli ugali wa dona wamahoteli kiujumla unga wa dona ulioandaliwa tofauti na home kwa kuogopa kuugua TB. Maandalizi ya unga huo asilimia kubwa uko hovyo mahindi hayasafishwi vizuri vumbi ndo usiseme tafakari chukua hatua mdau.
 
Huo ni ufuckin ,. Mbona kila chakula kina madhara??!,. 😠😠😠😠😠,. Mna maudhi Kweli!!,. Wacha tufe maana pia kufa kupo!!
 
Sasa tutakula hewa.....unga wa dona hatari,soda hatari,Nyama ya ng'ombe hatari,Ya mbuzi et magoti yanapata hitirafu, bia hatari, kuku wa kisasa hawa hatari, mayai yao hatari,wali,viazi, ndizi etc...vina wanga sana navyo hatari,mafuta ya kupikia ya wanyama hatari.....kila kitu hatari....aiseee...
 
Sembe ndo mbaya ina wanga mwingi kupindukia inachangia tatizo la kukosa choo kama ugali wake ukiliwa na mboga hafifu...tatizo la obesity haliachani mbali sana na ulaji wa sembe. Mleta mada jamii imebadilika sasa haipendi kula sembe ,wengi wameshajua madhara.Ugali wa dona umeliwa miaka nenda rudi hatukusikia madhara....labda utufafanulie kuwa hiyo sumu imegunduliwa miaka ya hiv karibuni na madhara yalikuwepo tangu zamani ila hayakujulikana.
 
Kila kitu tulacho ni sumu. Je umekagua ingredients zinazo changanywa kwenye maji ya kunywa?.Hata hewa tunayovuta ni sumu tupu.
 
katika dunia tunayoishi ni rahisi kwa dreamliner kupita kwenye sindano kuliko kuikwepa cancer
 
Aseeeee,, nimekuelewa mkuu! Mimi nitamla mama yako kama dona itazuiliwa!
 

The life is already fucked, I wouldn't worry about these details! UJINGA
 

Mahindi mazuri ya kutengeneza dona ni yale ya kutoka shambani na kukobolewa moja kwa moja.

Ukianza kuhifadhi na kupulizia dawa, hutapata dona la uhakika.

Njia za kisasa za kuhifadhi zahitajika badala ya kuweka madawa.
 
Mtoa mada bila shaka umetumwa kuharibia watu ugali wao, dona tumeila tangu enzi na enzi za mababu lkin hatujawahi pata madhara. Leo unatuambia ujinga ujinga
 
Mtoa mada bila shaka umetumwa kuharibia watu ugali wao, dona tumeila tangu enzi na enzi za mababu lkin hatujawahi pata madhara. Leo unatuambia ujinga ujinga
Mada yangu ni ya siku nyingi ambayo sasa inaungwa na Wizara husika na matangazo ya sumu ya kuvu yanaendelea kwenye vyombo vya habari.
 

Joto la maji ya kusongea ugali haliuwi sumu kwani ni kemikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…