Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninavyojua mimi panya hula kiini cha mhindi sasa sijui kiini cha mhindi ndio dona hapo utanisaidia,kuhusu kula dona sina mpango kabisa ninazaidi ya miaka 30 siijui dona pia baba yangu anazaidi ya miaka 60 hiyo dona haijui sasa hizo nadharia zako sijui umezitoa wapi, asante kwa ushauri wako lakini sintaufanyia kaziDona haina tatizo ww ndo unatatizo, panya hawal mahindi yaliyokobolewa iweje sisi tulioambiwa kuwatawala tule yaliyokobolewa? Sasa nakwambia fanya mpango uaze kula dona kwan wanaokula sembe wanajiua wenyewe taratibu lkn kwa uhakika!
sasa ukikoboa utaweza kukitoa kiini ,ukikoboa utatoa maganda kiini huwezi kukitoa,halafuu hiyo sumu huwa juujuu ina rangi ya kijani,ukiyaosha vizuru sumu unaitoa.ni vizuri kuuosha maindi kabla ya kusagaWatu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Kuleni magunzi ya mahindi mtaambiwaToa ushauri sasa tule nini,mawe au miti?
Nazalia yang n kwamba unakula pumba mana hakna virutubisho chochote unachopata protein na fibre unaziacha mashinen, unakataa dona unaknywa maji ya special ??ninavyojua mimi panya hula kiini cha mhindi sasa sijui kiini cha mhindi ndio dona hapo utanisaidia,kuhusu kula dona sina mpango kabisa ninazaidi ya miaka 30 siijui dona pia baba yangu anazaidi ya miaka 60 hiyo dona haijui sasa hizo nadharia zako sijui umezitoa wapi, asante kwa ushauri wako lakini sintaufanyia kazi
kwa nadharia hiyo basi hata kukoboa mpunga ni kosa kwani hizo fibre zinatolewa tunaziacha mashineni, halafu sijakuelewa unamaanisha nini unaposema ninakataa dona ninakunywa maji special hapo uhusiano upo wapiNazalia yang n kwamba unakula pumba mana hakna virutubisho chochote unachopata protein na fibre unaziacha mashinen, unakataa dona unaknywa maji ya special ??
https://www.google.com/url?sa=t&rct...HAJUB5ig-eQmsztLw&sig2=_FujmAaJchZFcCFKL8CQigWatu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Kwahiyo tuache kula dona?,kama kufa tutakufa tu,maisha ni mafupi hapa duniani usisumbuke sana,Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Acha uzushi mchana kweupe sisi hatutaki sembe wala mchele wa Thailand tutakomaa na dona tuu!Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Acha uzushi mchana kweupe sisi hatutaki sembe wala mchele wa Thailand tutakomaa na dona tuu!