masterjuly77
JF-Expert Member
- Jun 29, 2009
- 221
- 173
Hivi Mnajua Sukari Inavyotengenezwa?Vipi makande nayo si salama? Maana mnataka tule pumba sasa naona
Mkuu hua unakwangua masufuria na kula ukoko? Duuh acha bana sio poa
Si ndiyo? Au vinaenda chooni direct chooni kupitia tumboni! Shida iko wapi?mle kwenye MASHINE kuna sumaku inayonasa tu-vyuma
isitoshe hata ukila hivyo tuvyuma ndivyo unaendelea kuwa imara kama chuma.!!
ha ha wapare , mpoVipi makande nayo si salama? Maana mnataka tule pumba sasa naona
Hata sifuria inayopika(Mara nyigi aluminum) inapopata joto huyeyuka. Zile chechembe tunazila. So ni majanga mkuu,turudi kwenye vyungu.Acha kula ugali kula chips mayai
Ulishawahi kula mchuzi wa nyama uliopikwa kwenye chungu? Ukijaribu utatafuta chungu kikae jikoni kwako.Hata sifuria inayopika(Mara nyigi aluminum) inapopata joto huyeyuka. Zile chechembe tunazila. So ni majanga mkuu,turudi kwenye vyungu.
Acha kula ugali kula chips mayai
Unapata madini ya chuma
Hakuna ambacho hakikomi. Mwambie apambane na nguna, anununue dagaa debe za kutosha apige nguna.Kula ugali mkuu umri wa kuishi ni miaka 70 tu
Nothing lasts forever
Kwa kilugha chenu ni ironSiyo iron?
Kwa kilugha chenu ni iron
😀Shimboni
Hamna kitu mkuu, nimefurahi kukuona hapa mangi
Hamna kitu mkuu, nimefurahi kukuona hapa mangi