Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

chuma inasagika na inaoza tu kama kawaida, nafuu ungesema plastic ningeshtuka, unaudiss ugali wakati ndo uliokukuza mpaka unapata nguvu za kuandika. Kula ugali acha uoga
Huyo mleta mada atakuwa mtani wangu mpare.Si unajua wabahili.Anaona ubahili kutoa pesa wakasage unga kwenye mashine anataka wapende Kula kande mfululizo kwa kisingizio cha unga uliosagwa mbaya!!!! Wakati sababu kubwa ubahili.Haya endeleeni Kula kande watani zangu.Kifupi biashara ya mashine za kusaga upareni haipo ukiweka mashine ya kusaga imekula kwako.Watu ni Kula kande kwenda mbele.Watani zangu mpo?
 
Humu kwenyeJF kuna Uzi unasema mabasi yenye viyoyozi ni hatari na ukichimba zaidi utakuta yanahatari mara mbili, hatari ya pili ni soda na juisi wanazowapa abiria wao, je wanawapenda au wanawachukia?
Acha kusafiri kwenye mabasi yenye viyoyozi, soda, juisi, pipi na bisikuti.
 
Kwani mavyuma (iron)hayana maana kwenye afya ya mtu?
 
Zipo filter kwenye hatua ya mwisho unapotoka unga, vipande vya vyuma haviwezi kupenya kwenye zile chujio..
 
Sufuria unayopikia igali inaisha... Inatoboka unakoelekea utasema hata gesi tunakula...

Kula chochote ambacha hakikudhuru kwa muda huo....! Utaacha kula ugali sasq lakini hatua chache unazombwa na maji unapote ... Ugali unatuachia tukiendelea kuukandamiza...

Asante Mungu kwa Uzima na Afya njema
 
Kama siyo Mungu ,sijui ningekuwa wapi leo,,
 

Chuma hata binadamu tunayo mwilini hata tukila zile patikozi ni kujiongezea chuma zaidi na ni jambo jema
 
huyu jamaa huyu nahisi ni jini huyu
 
Kitu nlicgogundua humu jf ....kila MTU anafanya uchunguzi, na uchunguz huo unafanyika kiboya sana kiasi kwamba MTU anakuja na data za kupotosha watu

Kwenye masuala ya research mnafeli

Mna-complicate vitu simple ,halafu vya kuwa complicate mnavifanya easy

No research, No right To speak
Next time mtakuja tuambia machungwa ni sumu .
 
Ugali ni hatari ukiliwa kwa kiwango kikubwa ila sio kwa sababu uliyoielezea hapa.
 
Chuma hakiwezi kuwa metabolized kwenye tumbo hivyo hakiwezi kufanyiwa absorption yoyote ile kwenda kwenye system za mwili,hivyo chuma kitatoka pamoja na kinyesi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…