Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Ninafarijika kuona jinsi ambayo jamii ya lishe inabadilika kwa kasi sana hasa kwenye kutoka kwenye sembe kuhamia kwenye dona
Kautifiti kangu kadogo kameonesha kwamba kwa sasa kupata dona si ishu kubwa sana hapa Dar kwani wengi wamehamasika kula ugali huo na hasa maeneo ya mama lishe...
Rai yangu tuendelee kuhimizana kurejea Edeni jamani
Mzizimkavu atakuja baadae na faida za kula DONA