Ugali wa dona sasa washamiri kwa kasi Dar es Salaam

Ugali wa dona sasa washamiri kwa kasi Dar es Salaam

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Ninafarijika kuona jinsi ambayo jamii ya lishe inabadilika kwa kasi sana hasa kwenye kutoka kwenye sembe kuhamia kwenye dona

Kautifiti kangu kadogo kameonesha kwamba kwa sasa kupata dona si ishu kubwa sana hapa Dar kwani wengi wamehamasika kula ugali huo na hasa maeneo ya mama lishe...

Rai yangu tuendelee kuhimizana kurejea Edeni jamani

Mzizimkavu atakuja baadae na faida za kula DONA
 
download (1).jpg
dona la kikweliiiiiiiiii
 
kuna mtaalamu mmoja aliwahi kusema kwamba inapokuja suala la lishe, panya ana akili kuliko binadamu maana panya hula kiini cha mahindi (dona) na kutupa makapi (sembe) ilihali binadamu hutupa kiini na kula makapi
 
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Acha kupotosha maandiko: imeandikwa,watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa SIO wanaangamia.Hosea 4:6. Ina maana watu wanaangamizwa kwa mafundisho ya uongo kwa mfano eti misule,hakuna neno misukule kwenye bible,ni uongo tu na utapeli.
inaonekana Gwajima amekuudhi sana?
 
Acha kupotosha maandiko: imeandikwa,watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa SIO wanaangamia.Hosea 4:6. Ina maana watu wanaangamizwa kwa mafundisho ya uongo kwa mfano eti misule,hakuna neno misukule kwenye bible,ni uongo tu na utapeli.

the context is the same
 
Back
Top Bottom