watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
inaonekana Gwajima amekuudhi sana?Acha kupotosha maandiko: imeandikwa,watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa SIO wanaangamia.Hosea 4:6. Ina maana watu wanaangamizwa kwa mafundisho ya uongo kwa mfano eti misule,hakuna neno misukule kwenye bible,ni uongo tu na utapeli.
Acha kupotosha maandiko: imeandikwa,watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa SIO wanaangamia.Hosea 4:6. Ina maana watu wanaangamizwa kwa mafundisho ya uongo kwa mfano eti misule,hakuna neno misukule kwenye bible,ni uongo tu na utapeli.
ni kweli mkuu huyu jamaa amevurugwa...nina hisia kama zako, amevurugwa huyu!!