Ugali wa dona sasa washamiri kwa kasi Dar es Salaam

Wakati wa kupika si unga unawekwa kwenye maji ya moto 100°C,,, sasa hawa fungi hawafi na hilo joto?

Mkuu nyakahanga! Amezungumzia sumu ambazo tayari zimekuwa zimeshatengenezwa kwenye maganda ya mahindi(ngozi ya juu) sidhani kama zinaondoka kwa joto la maji, labda ingekuwa wadudu wenyewe wangefishwa na hilo joto ila sumu itaendelea kuwepo japo kwenye huo ugali.
 
naunga mkono hoja ya kuandaa mwenyewe kama this is the case
 
sasa ugali huu ni bora kabisa na unawafaa wanaume wa Dar
 
Mwingine wanachukua sembe wanaweka pumba maana harufu take duh
 
U
UGALI WA DONA UKIUOATA NA MATUNDA HAYA UNAKUA MWANAUME HALISI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…