Ugali wa Rowe unafaa sana kutumiwa na wanajeshi vitani, Chakula asili cha Wamanyema na Waha hapa kwetu Kigoma

Warundi katika ubora wenu
 
Sema ukishuhudia mazingira ya maandalizi yake hautatamani kuula. Wachache sana wanauandaa katika mazingira ya u

Sema ukishuhudia mazingira ya maandalizi yake hautatamani kuula. Wachache sana wanauandaa katika mazingira ya usafi.
Unaandaliwa kwenye mazingira masafi, wachache sana ndio huandaa kwenye mazingira machafu
 
Umeshawahi kuishi jeshini ?!!!

Unadhani jeshini huliwa vyakula vyepesi ?!!!

Jeshi halijaanza JANA.....

Ndani yake Kuna wataalam lukuki wa vyakula ambao hupendekeza VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO MBALIMBALI vikiwemo hivyo vya asili usemavyo.....

#KaziInaendelea
 
Mbona unakuwa mkali utadhani weye pekee ndiye ulipita jeshini?Muda mwingine muwe mnatulia.JF ni sehemu ya kutaniana na kuburudishana.Siyo kila kitu ni kutembea kwa kapani.😝😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…