UGANDA: Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende apigwa risasi

Kwa my opinion,gvt watakua very dump kumu eliminate mtu anaejulikana ana uhusiano na Bobby,binafsi matukio kama haya hua naona ni mtu anaetaka kuchafua gvt anafanya tukio lnalomuhusu mtu aliekwaruzana na gvt ili lawama ziende kwa gvt,1st suspect kwangu hapa ni beneficial wa hili tukio,lets be open,gvt ni loser hapa,then tuumize vchwa watawapata tu wahusika..r.i.p Afande
 
Afrika duu, noma sana.R.I.P wapendwa
 
huyo askari alistahili kufa kwa nini anaenda kinyume ya muajiri wake na kinyume ya kiapo chake?
 
Kama ni kweli m7!? Mzee huyu atakufa vibaya sana!? Heshima yake kujenga Uganda itapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…