UGANDA: Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende apigwa risasi

UGANDA: Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende apigwa risasi

Kamanda alikuwa mtenda haki kwa kweli pia alitumia cheo chake kutetea wanyonge.Waganda unganeni kusikitika pamoja kwani msimwache mtenda haki aliyedhulumiwa haki yake ipotee
 
Afisa wa Polisi nchini Uganda Muhammad Kirumira ameuwawa kwa kupigwa risasi yeye na mkewe wakiwa kwenye gari.Inasemekana Kirumira alikuwa ni rafiki wakaribu wa Boby Wine.
IMG-20180910-WA0017.jpg
IMG-20180910-WA0018.jpg
IMG-20180910-WA0016.jpg
 
Huyu dogo sijui kwanini sikumjua tangu akiwa hai. Yani alikuwa na haiba ya aina yake. 2022 ilikuwa agombee ubinge na lazima angepita na landslide.

Piga picha kolabo yake na Bobi Wine.

Bongo ataibuka tuu kama hawa. Abdul Nondo alishaanza

M7 hata wewe utakufa.

Allah tufanyie wepes

Yesu tupe uvumilivu
 
Mkuu ulikua usingizini? hii habari umechelewa sana kuileta hapa,huu uzi wako utaunganishwa tu,

Ila poa tu huenda kuna wengine hawakua wameipata hii habari.
 
Huwezi ukachunguza rushwa halafu unajiweka hadharani hivyo lazima utauwawa tu.
 
Mimi naamini kabisa wale wa Lissu hawakua serious sina nia mbaya.
 
Back
Top Bottom