UGANDA: Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende apigwa risasi

UGANDA: Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende apigwa risasi

Mwisho wa siku kila nafs itaonja umauti! Wako wapi majemedari wa vita walokuwa watajika na walotukuka?
 
Kwa my opinion,gvt watakua very dump kumu eliminate mtu anaejulikana ana uhusiano na Bobby,binafsi matukio kama haya hua naona ni mtu anaetaka kuchafua gvt anafanya tukio lnalomuhusu mtu aliekwaruzana na gvt ili lawama ziende kwa gvt,1st suspect kwangu hapa ni beneficial wa hili tukio,lets be open,gvt ni loser hapa,then tuumize vchwa watawapata tu wahusika..r.i.p Afande
Nimependa angalizo lako lakini haya mambo serikali inajitakia yenyewe..... Hapo angepigwa risasi waziri wa museveni washukiwa wangeshakamatwa mapema ila huyu hakuna mshukiwa wala pikipiki itakayokamatwa kuhusuika na tukio na hapo ndipo watu wataamini serikali imehusika..... Kama bobi wine kahusika as you claim basi uchunguzi wa nguvu ufanyike akamatwe ila hizi double standards kwenye uchunguzi ndio zinafanya watu waamini serikali imehusika mfano hata TZ unafikiri zile risasi za lissu angepigwa makonda angekuwa hajakamatwa mtu hadi leo???
 
JAMAA ALIKUWA ANAFANANA NA THOMAS SANKARA

img-20180910-wa0018-jpg.861846

sankara_burkina_faso_103114.jpg
 

Baadhi ya viongozi wa Africa wananuka damu.
 
Hivi life expectancy ya Uganda ni ngapi. M7 si ameshatoboa 73yrs. Hata kama anapata healthcare ya first class, huo umri ni tete sana hata vitabu vitukufu vimebashiri hivyo.
Nashangaa viongozi wa Afrika wanavyoleta viburi kwa Allah.
 
Mimi naamini kabisa wale wa Lissu hawakua serious sina nia mbaya.
Kwamba hawakuwa serious? Kwa hiyo walikuwa wanamimina risasi zikawa zinatoka kwa slow motion ili zisimuumize sana na kumwuua au walikuwa wakimkanda kwa risasi?
 
Back
Top Bottom