Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

Mapovu kama yote
 
Mchumba anasomeshwa Biblia tu akitoka hapo akahubirie waumini, hizi taaluma zingine tutakuja kuuana tu.
 
Hii ikifanyika bongo wanawake matapeli wengi watalia
Huku Bongo demu nwanachuo mmoja anasomeshwa na wanaume wanne na wote wanachangia gharama za ada, matumizi, na mahitaji mbalimbali halafu hawajuani wamepangwa kiufundi zaidi kila mmoja anaamini kwamba anasomesha mke mtarajiwa
 
Mimi naonelea kama mke ni mama wa nyumbani na hamna house girl/boy basi mali ni pasu kwa pasu ila kama wapo wafanyakazi mali itakua kwa 'asilimia' kadhaa, na kama mke ana kazi na amechangia matumizi nyumbani basi mali ni pasu kwa pasu, na kama mke ana kazi na hachangii chochote basi ataondoka na vitu vyake alivyonunua tuu., au mwaonaje wadau
 
Haya wale mnaosomesha wachumba mjitahidi kutunza risiti zenu ili mtuondolee usumbufu humu wa kutuomba ushauri mkishatendwa...
 
Hii safi! matapeli wanyoshwe tu.
 
Kwani bongo uchumba unatambulika na serikali? Maana Uganda unatanmbulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…