JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine?
Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6.
Kama mvivu kusoma daktari anayeanza kazi Uganda, anaanzia na Mshahara unaolingana na pesa za kitanzania 4,019,472/=, ambao ni mshahara wa hao machifu waliofika bar. Wenzetu Kenya registrar anaanza na zaidi ya 6 milioni, hata Prof wa MUHAS hapati.
Watu wameridhika na laki 8 zao, na kuitwa Dokta Dokta, wakati hawana kitu.