Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
unataka kusemaje mkuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kusemaje mkuu[emoji57][emoji57][emoji57]
nafikiri hizo zama zishaisha maana gharama za maisha sio wito pia!Ualimu na udaktari ni WITO
ni ajira pia. Yes ni wito, but at the same time ni ajira. But also inahitaji umakini sana, hivo lazima serikali ihakikishe inawalipa vizuri ili waweze kuhudumia wagonjwa akili zikiwa vizuri bila stress za kijinga za kodi sjui nauli tarudije nyumbani, mala kula, no! , kumbuka wanadeail na uhai wa binadamuunataka kusemaje mkuu
mkikaa nyuma ya keyboard mtu anaweza dhani mnapokea 20m au mnamiliki biashara za 300m huko...kumbe ni roho mbaya tuMimi naona wanatakiwa kupunguziwa maana wafanyakazi wengi wa serikali wanapenda job security ndio maana wanaona mshahara kama hisani. Kiasi wao husubiri hadi mei mosi kwa unyenyekevu ili rais awahurumie kuwaongezea mishahara.
Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine?
Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6.
Kama mvivu kusoma daktari anayeanza kazi Uganda, anaanzia na Mshahara unaolingana na pesa za kitanzania 4,019,472/=, ambao ni mshahara wa hao machifu waliofika bar. Wenzetu Kenya registrar anaanza na zaidi ya 6 milioni, hata Prof wa MUHAS hapati.
Watu wameridhika na laki 8 zao, na kuitwa Dokta Dokta, wakati hawana kitu.
Hamia Uganda,simple tuuSasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine?
Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6.
Kama mvivu kusoma daktari anayeanza kazi Uganda, anaanzia na Mshahara unaolingana na pesa za kitanzania 4,019,472/=, ambao ni mshahara wa hao machifu waliofika bar. Wenzetu Kenya registrar anaanza na zaidi ya 6 milioni, hata Prof wa MUHAS hapati.
Watu wameridhika na laki 8 zao, na kuitwa Dokta Dokta, wakati hawana kitu.
Udaktari ni ajira, watu walipwe pesa zao stahiki na kazi nzito waitendayo, yaani udaktari usiwe ajira ila ubunge ndio ajira.usifanye udaktari kama ajira...
najua huwezi nielewa.
Ndio maana mkuu hutakiwi kuumia online kwa sababu maoni sio reflection ya uhalisia mifukoni mwetu, mimi ni jobless na sina maisha kama una mchongo nipe mkuu bila kusita 🙏🏽mkikaa nyuma ya keyboard mtu anaweza dhani mnapokea 20m au mnamiliki biashara za 300m huko...kumbe ni roho mbaya tu
Kwa hiyo unafikiri hawa waliojiendeleza hawawezi kukusaidia kimatibabu au.Hiyo Avatar mbona kama ya walima kilimo cha bangi kutoka Afghanistan ? Au macho yangu hayaoni vizuri
N.b: Kidumu chama cha wavuta mjani kidumu
😀😀nilichoka kusikia mwalimu bachelor degree analipwa 700,000. halafu itamchukua miaka 13 kazini
kufikia mshara wa 1M
Kiongozi pamoja na kwamba kada zote ni muhimuMkuu hatuwezi kusema Udaktari ndo fani muhimu sana kukiko nyingine, Na tatizo za malipo duni ni kwa kada nyingi mfn waalimu, mapolisi, matrafk na kada za watu waliopo halmashauri.
Ili kutenda haki tunatakiwa kuboresha maslahi ya Kila kada