Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

Kwani tofali siyo dili?
Tofali dili kwa anaefuatilisha, sio kibarua anafanya kazi ya kufyatua, afu kumbuka apo anajisomesha ina maana kuanzia kula,kuvaa,malazi,vyote anajihudumia afu kumbuka ni mwanachuo kwa iyo mda mwingi yupo chuo koo mda wake anaofanya kazi ni mchache koo kama anafanya kazi mda mchache ina maana pia anaingiza pesa kidogo, atha ajihudumie ayo mambo yote na bado imbakie hela ya smart, unaona inawezekana apo sijaweka hela za kutolea copy na mazagazaga mengine
 
Hi
Bora angeivest kwenye biashara ya kufyatua tofali angetoka kuliko kumaliza chuo kisha unarudi mtaani kusaka ajira usiyojua utaipata lini.Kusoma Sana ni kuukaribisha umasikini.Kuwa na vyuo vikuu vingi nchini ni kuongeza idadi ya masikini nchini.
Unamaanisha kupata Degree ya kwanza nayo ni kusoma sana? Kwa Dunia ya sasa Bachelor inatakiwa iwe ni kiwango cha elimu ya msingi(lazima)
 
Uganda anapata soon na huenda kashapata
Bora angeivest kwenye biashara ya kufyatua tofali angetoka kuliko kumaliza chuo kisha unarudi mtaani kusaka ajira usiyojua utaipata lini.Kusoma Sana ni kuukaribisha umasikini.Kuwa na vyuo vikuu vingi nchini ni kuongeza idadi ya masikini nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Congratulation to "Sharon Mbabazi"Ugandan sister who has been laying Bricks to pay her University Tuition, she has graduated with degree in Communication [emoji1254]

Source:AfricanUpdatesView attachment 1300559
Mbona kama Sharon mfyatua tofali na Sharon aliyegraduate ni watu wawili tofauti? Mfyatua tofali mkono wa kushoto ni mlemavu na aliyegraduate mikono yote mizima. Au alianza kudraduate kisha akakatika mkono akaanza fyatua tofali then akarudi kusoma tena masomo aliyodraduate?
20191223_063646.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama Sharon mfyatua tofali na Sharon aliyegraduate ni watu wawili tofauti? Mfyatua tofali mkono wa kushoto ni mlemavu na aliyegraduate mikono yote mizima. Au alianza kudraduate kisha akakatika mkono akaanza fyatua tofali then akarudi kusoma tena masomo aliyodraduate?View attachment 1300827

Sent using Jamii Forums mobile app

Ana ulemavu gan hapo mkuu?
 
Umeandika gazeti la bure zoom huo mkono unaosema una ulemavu utaona hauna ulemavu

Back
Top Bottom