Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

Yote kwa yote jinsia yake........wadada wangapi wanaweza kufanya ivyo?
 
Mbona unahamisha mada? Au umekubaliana na Mimi, siku nyingine usikurupuke kupinga kama huna fact
Rudi kwa mtu uliyereply ujumbe wake,mi sijapinga popote ila nilisuport ulichoandika......so kuwa makini
 
Bora amejiongeza namna hii, huyu ndio mke sasa, maana ingekiwa wakina fulani wangeishia kudanga na shule wangeacha, nipendi anuani ya huyo binti niko na mpango wakujitafutia mke, huyo anafaa kabisa kuwa my wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…