Uganda: Chama tawala NRM wataka Museven aongoze hadi kifo

Kuna mambo mawili; yeye mwenye anapenda hayo maneno yawaingie watanzania wengi, na kuna kundi linalofaidi uwepo wake ndilo linapiga kampeni za chini chini ili hilo lifanikiwe!
 
Nashindwa ata niongee nini,,,daah africa,sometimes i wish tutawaliwe tena maybe tunaweza kuwa na akili,au litokee ghalika tufe wote,maybe hao wajao wanaweza kuwa na akili kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema Uganda ni vipi nahili jinamizi letu na kuna mijitu mipumbavu imeanza kushangilia huo upuuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo tuwaachie haohao, Museven, Kagame n.k!
Sisi tuzidi kuimarisha taasisi na kanuni zetu ambazo mtu au chama chochote ataweza/kitaweza kuzitumia kutuwezesha mpaka kuweka 'sattelites' angani!
TANZANIA MBELE KWA MBELE!
 
Hawa viongozi wa Africa wana matusi ya wazi kwa wananchi wao! Uganda nzima hakuna anayeweza kuwa raisi isipokuwa yeye? Tuna safari ndefu, uchu wa madaraka unaturudisha waafrika nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…