Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Unashangaa nini wakati UKUKU ndio unapelekea yote haya? Unapotezea eeeh?Yaani watu wamejifanya kumsahau Mbowe kabisa katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa nini wakati UKUKU ndio unapelekea yote haya? Unapotezea eeeh?Yaani watu wamejifanya kumsahau Mbowe kabisa katika hili.
Ana stroke huyo usipoteze muda sana kumjibu.Mwenyekiti wa chama unamfananishaje na Rais anayezungumziwa kwenye mada hii? Yaani ubongo wako umejaa uvyama tu. Poor you!
Kuna mambo mawili; yeye mwenye anapenda hayo maneno yawaingie watanzania wengi, na kuna kundi linalofaidi uwepo wake ndilo linapiga kampeni za chini chini ili hilo lifanikiwe!Nawasikitikia waganda, Mseveni ndo kisha chukua hivyo term nyingine. Ni umugabe mpaka anakufa. Kuna la kujifunza pia. wanachama wa chama cha NRM wanataka kubadilisha katiba ili Mseveni agombee urais mpaka kufa, mhusika mkuu ambaye ni Mseveni yuko kimya.
Habari za rais wetu kuongezewa muda zimeshaanza na hata hata miaka 2 haijafika, kelele hizi zitazidi kuongezeka hasa awamu ya pili, ungetarajia rais muungwana awakemee watu hawa ili hili jambo lisiwakae akilin. Kama Kagame, mwanzoni wanakuwa kimya, mwishoni wanasema wao wanafuata matakwa ya wananchi.
Unasema Uganda ni vipi nahili jinamizi letu na kuna mijitu mipumbavu imeanza kushangilia huo upuuzNawasikitikia waganda, Mseveni ndo kisha chukua hivyo term nyingine. Ni umugabe mpaka anakufa. Kuna la kujifunza pia. wanachama wa chama cha NRM wanataka kubadilisha katiba ili Mseveni agombee urais mpaka kufa, mhusika mkuu ambaye ni Mseveni yuko kimya.
Habari za rais wetu kuongezewa muda zimeshaanza na hata hata miaka 2 haijafika, kelele hizi zitazidi kuongezeka hasa awamu ya pili, ungetarajia rais muungwana awakemee watu hawa ili hili jambo lisiwakae akilin. Kama Kagame, mwanzoni wanakuwa kimya, mwishoni wanasema wao wanafuata matakwa ya wananchi.
Matumizi mabaya ya akili zakoYaani watu wamejifanya kumsahau Mbowe kabisa katika hili.
Sasa huyo si Mfalme na akifa watasema mwanae arithi. Yaani waafrika kuna kitu hatuko sawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimamlaka Mbowe na rais wapo sawa?Yaani watu wamejifanya kumsahau Mbowe kabisa katika hili.