Uganda ina Silaha za Kijeshi nyingi kuliko nchi zote Afrika Mashariki

Hayo masifuri ndio kumaanisha kwamba sisi kwenye medani za kivita ni zero brain au? Maana naona masifuri kibao
 
Duh! Hebu kwanza weka pembeni vya Kenya na Uganda, hivi kumbe Tanzania hamna kitu jameni, hizo sifuri pamoja na liinchi lote hilo..kha!!
 
Ndo maana mjomba muhoozi alikuwa anaitaka Nairobi kwa wiki 2 tu
 
Wajeee wajaribu mziki huu watakojoa sisi ndo baba wa east africa km unavoona USA ni baba wa dunia ...huyo mtoto chizi wa Uganda aje atikise mzinga wa nyuki aone minundu atakayo ipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…