Uganda: Kanisa la Anglicana Uganda kujitenga na kanisa Mama la Uingereza la Canterbury

Uganda: Kanisa la Anglicana Uganda kujitenga na kanisa Mama la Uingereza la Canterbury

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Baada ya Kanisa kuu ya Uingereza kutambua na kushiriki na watu wanao shiriki ndoa ya jinsia moja, kiongozi mkuu wakanisa ya Anglican ya Uganda ametanganza rasimi kuanza mchakato wakujitenga na hiyo kanisa.

Haijalishi hata kama ndo wazilishi wa hiyo dini nchini mwao. ARCH Bishop Kaziimba , amesema kwamba ndoa ya jinsia moja ina kinzana na maadili yao kama waganda na wa Africa kwahiyo wa naona bora waishi ki vyao.

========

Archbishop Kaziimba said the process to split from the Church of England is ongoing following a disagreement with Canterbury on issues of homosexuality.

“We will remain African Christians,’’ he said, adding that the message they [Church of England] brought [to us] is “no longer the message they are keeping”.

On February 9, 2023, the Church of England backed proposals to allow prayers of blessings for same-sex couples, a pronouncement that has left many African Anglican churches at odds with the mother Church of the Anglican faith.

On the beliefs and values of the Anglican faith in the Province of the Church of Uganda.

The Cleric says there will never be a place for compromise on the beliefs and values of the Anglican faith in the Province of the Church of Uganda. Archbishop Kaziimba said this is not a political thing, but rather a moral.

Screenshot_20230214-083321_Chrome.jpg
 
Ni jambo Jema kujitenga na hii laana kwa kweli, ijapo kuwa haya mambo yanapigiwa upatu mkubwa sana.

Kanisa Angalikana na Ushoga, Uzi utafutwa sasa hivi.
Mkuu kwanini ufutwe tena? unatoa angalizo jema kutofuata hao watu wazungu kila jambo.
 
RC wako wapi?
Hujapata taarifa zao kule Ureno kanisa katoliki ina case kubwa ya kujibu kagoogle uone maajabu ya kanisa ya RC, walicho fanya hao watoto minors.
 
Hawa wazungu sio wa kuwaendekeza kwenye kila kitu...
 
Nimeyasema haya sehemu.

Watasambaritika kwa laana zao. Anathema will devour them....nimesema kuondoka kwa Malikia Elizabeth itawaia ugumu wajao kuendelea na 'Imperialism' kwa vile Mfalme ana ushoga fulani, na hawezi kuwa na cohesion kutokana na yale yaliyojiri kati yake na mwanae na mengi tu.

....na vilevile wanaelewa() yale makovu ya Mengo bado ni mabichi. Bado implication wa haya yanayojiri Uganda kunaweza kuvunja ndoa ya kanisa la Ufalme na Kanisa la Papa....haitakuwa leo au kesho lakini yale yaliyotokea Mengo yaliwaunganisha madhehebu mengi Ulaya, yaani yaliyotokea Uganda ndio ilikuwa gundi yao hivyo, ndiyo yaliyo waunganisha... basi uwezekano upo! chip chip

Vita za hao watu wa Ulaya vilileta udhalimu wa hali ya Juu kule, waganda walinyamazishwa kidizaini ilimradi wasipate aibu Buckingham Palace wasipate aibu Bungeni kwao. Watu waliuwawa kinyama.

Nimefurahia msimamo huo.

Na niongeze tu...Tungo'ke kwenye Jumuiya ya Madola tuongeze uhuru wetu. Tupate katiba bila ya vishinikizo. na vilevile tuambiwe ukweli kuhusu ndoa yetu na Jumuiya ya Madola.

Kitaeleweka.
 
Wapuuzi. Wangerudi tu kwenye dini zao za asili za buganda au bangada.
 
Wapuuzi. Wangerudi tu kwenye dini zao za asili za buganda au bangada.
Mkuu Dini zipi hizo za buganda na banganda? Kwa taarifa yako waganda wana amini sanaa dini zao za asili, sio ajabu kumuona Bishop mkuu kua na hilizi kiunoni au kuenda kutambika mara kwa mara.
 
Mkuu Dini zipi hizo za buganda na banganda? Kwa taarifa yako waganda wana amini sanaa dini zao za asili, sio ajabu kumuona Bishop mkuu kua na hilizi kiunoni au kuenda kutambika mara kwa mara.
Ndio nasema ni wapuuzi. Badala ya kujitenga na hao waangikana wangeachaba nai mazima na kufuata dini za asili. Na hii sio kwa qaganda tuu bali waafrika wote kusini mwa jangwa la sahara.
 
Ndio nasema ni wapuuzi. Badala ya kujitenga na hao waangikana wangeachaba nai mazima na kufuata dini za asili. Na hii sio kwa qaganda tuu bali waafrika wote kusini mwa jangwa la sahara.
Sio mbaya ila wengi wanafuata hao watu kwasbb ya pesa au ufadhili wa kinisa zao tu, ila sio kiimani.
 
Kanisa lilifanya au wanakamati.
Mimi sijui kama ni viongozi wa kanisa au kanisa, lakini huwezi kutenganisha kanisa na viongozi wa kanisa, papa akifanya jambo lolote analifanya kwa niaba ya Kanisa katoliki nzima.
 
Tukitoka kwenye ushoga tunaenda kwenye ma pedophiles, nimeona mahala ma pedo wanataka kutambulika na wao. Pamoja na wanao practice beastiality.

Yani ili mradi tu hatuna kazi ngumu za kufanya tuna uhuru basi uchafu wote unaowajia watu wanataka wafanye.

Uhuru usio na mipaka!

Such a disgusting place bora wanaofanya mipango wahamie sayari nyingine
 
Mimi sijui kama ni viongozi wa kanisa au kanisa, lakini huwezi kutenganisha kanisa na viongozi wa kanisa, papa akifanya jambo lolote analifanya kwa niaba ya Kanisa katoliki nzima.
Unajua maana ya 'kwa niaba ya' ama unatamka tu bila kutafakari.
 
Mwenyezi Mungu aliangamiza kizazi cha Sodoma na Gomola sababu ya mambo kama haya, dume kuoana na dume jengine huyo ni ufilauni.. au Jike kuoa jike jenzie nao ni ufilauni vilevile.
Hongera Bishop.
Africa will remain to be Africa.
 
Back
Top Bottom