Vyombo vya habari ndio vinatengeneza ajenda, taarifa za uvumbuzi na teknolojia zinaandikwa mara moja halafu zinapotezewa. Labda kwa vile wajasiriamali hawawezi kutoa bahasha kama wanasiasa...Tanzania kwa zaidi ya miaka 3 sasa watu wanabishana nani atakua raisi 2015,kweli hayo maendeleo yatapatikanaje??
Wanasema 'function' nyingi za ziada zimeondolewa. Hii ni kazi tu hakuna cha AC wala nini sijui....mkuu hii gari imetengenezwa Kenya,na ni purposely kwa rough terrain,Usishangae kampuni za kitalii hata za Tanzania wakakimbilia kununua hizi,maana bei ni cheap tofauti na landcruser,na hizi ni mpya kabisa unanunua ni sawa na 0 millage,Ksh 900,000/= ni kama Tsh Mil 18hivi kwa gari mpya na spear ni guaranteed zipo,kwanini wasiuze?
Watutishe bana, sisi tulishatengeneza magari kibao ya nyumbu, hamyaonagi sabasaba?! kila mwaka wale jamaa wana budget yao kwa ajili ya uvumbuzi mbalimbali, Baba Ritz ondoa shaka uko mbele kaka mkubwa, achana na waganda kwanza gugari gwenyewe gubayaaa!....
View attachment 171269
Samahani hii gari ya wapi??
iv nyumbu tulitengeneza au tuliasembo vitu mana kuliunda gari from scratch cdhan na nahisi ata majiran zetu ni ivo ivo tu engine wanaagiza gearbox wanaagiza piston afu wana tengeza bodi,sasa apo umetengeza gari,umeunda au umeuganisha vfaa upate gari??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hiyo ni KIIRA ya Uganda!
Sisi bado kwanza tunafanya maonesho! mpaka Rwanda watatengeneza ndege sisi bado tunaagiza baiskei!
View attachment 171272
Hii ya wakenya, tutaendelea kupenda sana za wenzetu, ya kwetu naona huwa inatoka siku za sabasaba tu wanaenda kuionyesha wanairudisha bandani!Hii nimeipenda,nzuri sana kwa adventure
Hii ya wakenya, tutaendelea kupenda sana za wenzetu, ya kwetu naona huwa inatoka siku za sabasaba tu wanaenda kuionyesha wanairudisha bandani!
mwenye picha ya nyumbu please
Mkuu hizo za Kenya kwani zinatembeaga wapi... Ukiacha kwenye news, sijawahi iona barabarani. Hata huko kwao japo si mwendaji kiviile... Nyumbu mara kwa mara unaweza liona road hasa maeneo ya Kibaha
hahahhaa, wenzako washaanza kuchukua pre-order wewe unazungumzia kuiona nyumbu kibaha?!!...WENZENU WANAUZA, THEY ARE DAMN SERIOUS!
tulia uone sasa, wenzako washaanza
Sisi bado tuko busy na
Mkukuta
Mkurabita
Mkukurukuta
Nyumbu
BRN
Kilimo kwanza
Sijui ipi itafuata next year
Kwa maana ya EAC: Kenya na 'jeep', Bongo trekta na malori, Uganda tugari tudogo. Nawaza tu!
Ila huwa inakera sana watu humu (ma-GT halafu) kitu kidogo tu wanaanza ooo kulaaniwa, mara kulogwa, mara hiki mara kile. In fact, tatizo kubwa la waBongo wengi ni kutopenda kufikirisha ubongo (imagine na ndo a.k.a ya nchi) na kuishia kulaumu tu. Utalaumu hadi Masiha arudi na hutabadili kitu.
Namna pekee kubadili hali uliyonayo ni kutumia akili, maarifa na juhudi ulivyojaaliwa katika kufanya kazi. Na mtu mmoja mmoja anavyoendelea/anavyoboresha hali yake, ndipo taifa linasonga. Unachokivumbua, unachokizalisha, ukifanya kazi yako kwa weledi, wengi wananufaika kwa kuwa maendeleo/utajiri ni contageous. Yanaambukiza.
MTANZANIA, ACHA KULAUMU NA KUNUNG'UNIKA! FUNGUKA!!!!!