Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kupatana tu! na kuheshimiana pia! huwezi ukasikia mganda analopoka eti tukajadiliane na FDLR, wakati wanawajuwa fika ni watu wa namna gani, never!Wewe wakatae tu hapa, wakati kuna watutsi kibao ambao rais wako anawasapoti. Lazima tufanye vetting, kama hamtaki nendeni huko Uganda ndio mnapatana.
OK!Huyo Museveni ndio mentor wa Kagame, RPF ilianzishwa kutoka Uganda na machufuko yote ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994 yaliasisiwa kutoka Uganda. Kwa hiyo hamna cha kushangaa hapo ila sisi hatuna cha kupoteza, huyo Museveni huwa anatulia linapokuja suala la Tanzania. Tatizo ni huyo rais wako.
OK!Mwambie tutamnyoosha, sasa hivi ikulu kuna Magufuli sio Kikwete tena aliyezoea diplomasia.
Ndugu yangu mchambawima1 sidhani kama issue ni kuingizwa mkenge wala nini, maana hatupo humu kushindana ila tupo kujadili mada zilivyo na kujielimisha kwenye masuala ya kimataifa. Huyu jMali pamoja na kwamba mara nyingi huwa sikubaliani naye, lakini kuna wakati huwa anawasilisha hoja zenye mantiki na inakuwa vigumu kwa msomi yeyote kubisha bila ushahidi.
Tatizo langu na yeye ni kwamba hajawahi ona chochote kizuri ndani ya Rwanda, hiyo inanifanya kumwona kama mtu aliyeajiriwa kwenye mitandao kuiharibia Rwanda au kama mtu mwenye interest fulani. Lakini pia anakua wakati mwengine na points muhimu sana na zinazostahili kutumia akili kubisha, itakua ulimbukeni kwangu mimi kumbishia kila kitu. Jameni tujifunze kujadili hoja bila ushabiki maana kuna watu wengi wanasoma hizi mada na kunufaika na taarifa zilizomo.
wewe ndio haujuwi kinachoendelea! Kabarebe ni mwanajeshi wa Rwanda na alienda DRC kumsaidia kabila mzee kuikomboa DRC na kuwarudisha kina jMali kwao! kwani wewe ulitaka iweje? hebu ngoja leo nikuulize, hivi tatizo la wanyamulenge unalichukuliaje?
Kabarebe ni waziri wetu wa ulinzi, Sultani ni mkimbizi Uganda... hivi kwa nini unakuwa haujielewi wewe! kwani nchi gani isiyopokea wakimbizi? hivi wewe unajuwa Mandela, Obote, Chiluba, Kabila mzee, Museveni... etc! walikuwa wakiishi Tanzania? MALCOM LUMUMBA
kama haujuwi mambo uwe unakaa kimya! kwanza mambo ya baada ya Genocide utayajuwa vipi wakati ulikuwa ushakimbia nchi? kwa taharifa yako kipindi kile Kagame anawatimua Rwanda Kabarebe ndie aliyekuwa chief escort wake! kama haujuwi mambo uwe unakaa kimya!Wewe ndio hujui Kabarebe alikuwa mwanajeshi wa DRC kabla ya kuwa mwanajeshi wa Rwanda.
"2. James kabarebe: kazaliwa rutshuru congo, kasoma makerere, kawa Chief of military Congo, alipofukuzwa kazi kakimbilia Rwanda, huko akazawadiwa cheo cha chief of staff jeshi la Rwanda!" source: Uraia wa waTutsi !
cc: Maziku Masunga Jr.
kwani we unatakaje, tuwachanganye na wakimbizi wengine? hapana! kufabricate stories hakuta kusaidia hata siku moja, mi nilikuwa nafikiri Nkunda anatafutwa na Kabila kumbe hata ICC lakini kwanza hebu nithibitishie kama kweli anatafutwa na ICC! Maziku Masunga Jr.wakimbizi wanakaa kambi zinazotambuliwa na UNHCR/UN, wakimbizi wa kisiasa wanatambuliwa as such as well. Sultani makenga, Laurent Nkunda na the rest of M23 wanakaa kwa utaratibu gani? They are not refugees! Hata serikali ya Rwanda haisemi refugees when referring to them, inatumia neno 'special guests'! By the way Laurent nkunda is wanted by the ICC, Rwanda haitaki kumtoa, what do you say about that? The rest of M23 wanatakiwa warudishwe DRC wakajibu mashtaka yao, Rwanda haitaki kuwatoa, what do you say about that?
Siku mojamoja upuzi wako unapoteaNdugu yangu mchambawima1 sidhani kama issue ni kuingizwa mkenge wala nini, maana hatupo humu kushindana ila tupo kujadili mada zilivyo na kujielimisha kwenye masuala ya kimataifa. Huyu jMali pamoja na kwamba mara nyingi huwa sikubaliani naye, lakini kuna wakati huwa anawasilisha hoja zenye mantiki na inakuwa vigumu kwa msomi yeyote kubisha bila ushahidi.
Tatizo langu na yeye ni kwamba hajawahi ona chochote kizuri ndani ya Rwanda, hiyo inanifanya kumwona kama mtu aliyeajiriwa kwenye mitandao kuiharibia Rwanda au kama mtu mwenye interest fulani. Lakini pia anakua wakati mwengine na points muhimu sana na zinazostahili kutumia akili kubisha, itakua ulimbukeni kwangu mimi kumbishia kila kitu. Jameni tujifunze kujadili hoja bila ushabiki maana kuna watu wengi wanasoma hizi mada na kunufaika na taarifa zilizomo.
sio propaganda! tunachofanya ni kuwapa watu ukweli wa mambo yalivyo, kumbuka huwa tunaambatanisha na facts sio hizo here say zenu MK254Ondoa wasiwasi, hakuna mtu anayeweza kuajiriwa kuiharibia Rwanda. Kwanza hata maslahi yenyewe yatakuwa ni nini? On the other hand uwepo wa Rwanda online propaganda machine ni uhakika. Tena ikiongozwa na mzee mwenyewe Kagame! Jionee mwenyewe jinsi account ya Kagame inavyoendeshwa na mtu who sounds exactly like Koba and mchambawima1
Ondoa wasiwasi, hakuna mtu anayeweza kuajiriwa kuiharibia Rwanda. Kwanza hata maslahi yenyewe yatakuwa ni nini? On the other hand uwepo wa Rwanda online propaganda machine ni uhakika. Tena ikiongozwa na mzee mwenyewe Kagame! Jionee mwenyewe jinsi account ya Kagame inavyoendeshwa na mtu who sounds exactly like Koba and mchambawima1
Ni personal assistant wa Kagame.Na yule msemaji wa kundi la M23 wamemzawadia nafasi gani.?? mchambawima1
Usiwe mbishi, hebu jaribu kupitia hapa Rwanda rejects Laurent Nkunda's appeal for releasekwani we unatakaje, tuwachanganye na wakimbizi wengine? hapana! kufabricate stories hakuta kusaidia hata siku moja, mi nilikuwa nafikiri Nkunda anatafutwa na Kabila kumbe hata ICC lakini kwanza hebu nithibitishie kama kweli anatafutwa na ICC! Maziku Masunga Jr.
Na yule msemaji wa kundi la M23 wamemzawadia nafasi gani.?? mchambawima1
lol... nilikuwa nafikiri Mobutu hatorudi lakini naona MZIMU wake umetufwata kwenye jamvi! ingawa mie sio mwana sheria lakini kwa mtaji huu hauwezi ukampeleka mtu MAHAKAMANI! maboutu kwa hiyo, hapo ndio ushatuletea ushahidi wa propaganda zetu na uhusiano kati ya tweet za Kagame na Goldstone? ujinga wa namna hii hapa JF unawakamata watu kama akina Maziku Masunga Jr. tu! hebu ona alivyo lala chari kwa kufurahia huu udaku uliomletea kutoka kwa mvuta/muuza unga, Steve Terill! jamaa hata Rwanda hawezi kuingia kwa sababu ya criminal records zake kule USA, last time aliishia airport Kigali... ana hasira sana na Rwanda! jamaa ni mbangaizaji tu anayetaka umaarufu kwa njia panya... mi naona huyo Richard Goldstone ni nick name aliyojipa mnyarwanda mzalendo, baaaaaaaaaasi! kuna kitu gani kinachokufanya wewe ulink hizo tweet mbili? akili za namna hii zitatuchelewesha sana! kwanza hata habari yako haijakamamilika ngoja nimuite FDLR jMali aniambie sakata liliishaje...Paul Kagame has over 260,000 followers on Twitter, and has become well-known for using the service to engage with his followers. "I think it [Twitter] is very important from my perspective," he told Wired last year. "I learn a lot from that because you are having free access to as wide opinion as the whole world has ... I learn about people's views, about challenges, and that goes beyond Rwanda itself."![]()
For the past few weeks, however, the Rwandan president hasn't been tweeting, apparently taking a break from the service. That is, until Thursday morning, when something quite unusual – and possibly revealing – happened.
It began when Laura Seay, a political scientist with Colby College, approvingly tweeted of the work by Sonia Rolley, a journalist with RFI who has been covering the deaths of Rwandan dissidents. This tweet, in turn, prompted a response from an account named "@RichardGoldston."
"'Goldston' was insulting Sonia in a number of ways," Seay told me in an e-mail, "including a really bizarre attempt to embarrass or slut-shame her, implying that she had been dating Patrick Karegeya (the Rwandan dissident who turned up dead in South Africa on January 1) and that he had sultry details on their interactions."
At this point Steve Terrill, another journalist who covers Rwanda, stepped in to ask that @RichardGoldston stop the "misogynistic harassment" of Rolley (you can read the tweets here, but note that the @RichardGoldston account has been deleted).
After a little back and forth, something strange happened: Kagame himself apparently stepped in, tweeting directly at Terrill. The tweets have since been deleted, but not before people were able to get a screenshot:
While the @RichardGoldston is now gone, an old version can be found with Google Cache and it's certainly curious. The account's name appears to be a reference to Richard Goldstone, the first United Nations Prosecutor for Rwanda, and the photograph was of Andrew M. Manis, a history professor at Macon State College in Georgia who has no obvious link to Rwanda. "I am a descendant of an English imperialist," a bio on the cached Twitter account reads, "and i [sic] regret every deed that imperialistic policies did to Africa. I am on a mission to clear my conscience." The account had over 2,000 followers, and appeared to be well known among those who follow Rwanda.![]()
"Goldston has trolled a lot of people, basically anyone prominent who criticized Rwanda in even the slightest way," Seay says. "This includes Human Rights Watch executive director Ken Roth and the Special Representative of the Secretary General for DRC Martin Kobler."
Terrill says that he has had suspicions about the @RichardGoldston Twitter account for a while: Despite the picture of Manis (who has denied any link to the account), it seemed to be written by a Rwandan, and, notably, it was followed by a number of official Rwandan accounts. After searching back through the account's tweets on social media analytic tool Topsy, Terrill says he found that the account had asked someone to e-mail him at at an address linked to the president's office. The "@RichardGoldston" account appeared to be the work of someone in Kagame's communications department: Someone he'd actually had drinks with on certain occasions. When he asked the president's office about it, he says, they dismissed the idea. Requests for comment from Kagame's office from the Washington Post went unanswered on Friday.
Twitter trolls are two-a-penny, of course, and even if Kagame's Twitter ghostwriter is really behind the @RichardGoldston account it may look like an embarrassment rather than a scandal. However, the fact that the tweet that started this was a reference to Rolley's reporting on the death of Rwandan dissidents lends the situation a darker tone.
For the past few months, Rolley had been reporting on the death of Patrick Karegeya, the former head of Rwanda's intelligence communities who was found strangled in a Johannesburg hotel on Jan. 1. Karegeya had become one of the most vocal critics of Kagame since falling out with the president in 2007. The Rwandan government denied any involvement in his death, but apparently couldn't hide their pleasure. “When you choose to be a dog, you die like a dog," Defense Minister General James Kabarebe has reportedly said.
The death of Karegeya would be suspicious enough on its own, but some suspect it to be part of a broader trend to silence Rwandan critics who have fled abroad. Just this week, armed men attacked the home of Kayumba Nyamwasa, an exiled Rwandan general living in Johannesburg. "They searched almost every room," a source close to Nyamasa's family told AFP. "It can't be an armed robbery. You don't ask where 'are the people?'" Nyamwasa wasn't home, and South Africa on Friday expelled three Rwandan diplomats it believes were linked to the attack.
One of @RichardGoldston's deleted tweets from Thursday morning was apparently a reference to Rolley's "reporting since January 3." As Rolley later noted, the only incident she could recall that happened on Jan. 3 was when Karegeya's phone, taken by his murderers, was apparently turned on that day (Rolley declined to comment for this article).
It's worth remembering, of course, that this year will mark the 20th anniversary of the Rwandan genocide, and the Rwandan government has big plans to commemorate it. Kagame was initially praised by the international elite for his role in leading Rwanda out of that terrible period – Tony Blair once called him a "visionary leader" for example. In the past few years, however, people have become more skeptical, with Politico recently dubbing him a "darling tyrant."
With Thursday's social media slip, his once-praised Twitter presence now seems like it could perhaps be placed under the latter category, serving as a reminder of the harassment and political pressure many people say they feel in Rwanda today.
UPDATE: After this story was published, Kageme's office sent out this tweet:
Presidency | Rwanda ✔ @UrugwiroVillage
@RichardGoldston was an unauthorized account run by an employee in the Presidency. It has been deleted and the staff member reprimanded.
9:26 AM - 8 Mar 2014
unataka nini?teh teh teh huyu mchambawima1 yuko wapi.??
hivi we mzima kweli? sasa ndio kitu gani hii??? kwamba Nkunda anatafutwa na ICC??? swali nimemuuliza jMali umemuona kakaa kimya ukafikiri unamzidi maarifa ya kuchongesha vitu? lol... unachomzidi ni kusoma habari na kutoielewaaaa mkuu! you made my day, thanks and good bye!Usiwe mbishi, hebu jaribu kupitia hapa Rwanda rejects Laurent Nkunda's appeal for release
Ndio maana sometimes namkalia kimya kwa sababu unaweza kupoteza muda kubishana nae kumbe mwenzio yuko kazini anapiga hela!Kumbe anachokifanya mchambawima1 ni agenda ya kitaifa.
Ni kweli kuwa msemaji wa M23 ni personal assistant wa KaGame?nataka uthibitisho lakini hata ukikataa haiwezi kubadili ukweli, kumbe msemaji wa M23 amekuwa ni personal assistant wa Kagame.