Hehehehe Naona hoja zimekushinda umeishia kutishia watu humu, mtaambiwa kama ilivyo, wakanye hao ndugu zako kufanya ugaidi la sivyo wataendelea kufa, umeona wanavyouawa Gaza, sasa na huku Afrika wanauawa pia, na hatutakoma kukumbushia, uzuri naleta habari na kuweka chanzo kabisa.
Huyo Max sijui nani, simjui na sina muda wa kumjua, kama mlimuua mtajua wenyewe, kila mtu anaingia humu JF kujadili kwa uhuru almradi havunji sheria au kanuni za JF, na hapa tayari umevunja kanuni kwa kuanza kutishia watu humu hivyo natumai
Moderator is taking note.