Uganda, Makerere: Afisa utawala afukuzwa baada ya kushitakiwa kwa kumdhalilisha Mwanachuo kimapenzi

Uganda, Makerere: Afisa utawala afukuzwa baada ya kushitakiwa kwa kumdhalilisha Mwanachuo kimapenzi

Kabisa Mkuu unamvamiaje mtu na stop ya kwanza ni mdomo na papuchi yake!? 😱😱😱

Angekuwa kwenye siku zake ingependeza.
Mkuu umeziona hizo pistoz za Mtoto Rachel lakin...

Mateso bila chuki...

Hahhahaaa..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
%255BUNSET%255D.jpg


KISUZE EDWARD ambaye ni Ofisa Utawala Mwandamizi Ofisi ya Usajili wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, amesimamishwa kazi kwa kumdhalilisha kijinsia mwanafunzi wa kike.

Barua ya kusimamishwa kazi.


MAKERERE-1.jpg

Barua iliyotolewa na Kaimu Mkuu wa chuo hicho, Prof. William Bazeyo, kwenda kwa mtuhumiwa, imemsimamisha kazi ili kupisha uchunguzi wa tukio hilo ambapo pia hatakiwi kufika katika ofisi hizo.
Mlalamikaji, Njoroge Racheal, aliiambia polisi kwamba Kisuze alimbusu kwa nguvu kwenye mapaja yake na kumshika sehemu za siri.


Mwanafunzi huyo alitumia simu yake kupiga picha kadhaa za tukio hilo ambazo amezifikisha polisi.
Katika maelezo aliyoyatoa polisi, mwanafunzi huyo alisema tukio hilo lilitokea katika chumba cha ofisi ya Kisuze alipokwenda kuchukua matokeo yake ya awali na barua ya uthibitisho chuoni. Wakati anavitazama hati hizo, mtuhumiwa alimkamata na kumlaza kwenye makabati ya mafaili, akamnyonya maziwa na mapaja, na kumwingiza vidole sehemu zake za siri.

Maelezo ya mwanafunzi.



MAKERERE-2.jpg


Ni wakati hayo yanatokea, alitumia simu yake kupiga picha za tukio hilo na kumtishia kumshitaki ndipo mtuhumiwa alipomwachia akaondoka hapo akilia.

MAKERERE-1.png



CHANZO Afisa Chuo Kikuu Aliyemnyonya Mwanafunzi Sehemu za Siri Asimamishwa Kazi | UDAKU SPECIAL

My take;
Jamani mliopo kwenye taassisi za elimu ya juu ni kweli kuwa sheria haziwazuii kuwa wapenzi na wanafunzi wenu ikiwa nje ya eneo la kazi na bila kuathiri kazi.. ila wengine mnakosea kutake advantage ona sasa Mtu na elimu yake anayeaminiwa na jamii yake ikiwemo mke wake anavyoaibika
Kama hakupata papuchi ni mzembe
 
Demu mwenyewe ananyonywa yupo uchi anatwanga selfie! Usanii tu kuna jambo wamepishana, labda jamaa hajazama mfukoni.

Halafu tukio la kunyonywa matiti na kupigwa 'madole' tu limeshushiwa essay ndeeeefuuu!!!!
 
Mpuuzi huyo mwanafunzi, sema kuna mambo wamepishana na huyo jamaa,
Haiingii.akilini dada mzima ufanyiwe vile na apate mda wa kumpiga picha mhusika.

Jamaa kaingizwa mkenge na dellilah!!
Kabisa Mkuu....

Jamaa kachomewa ...

Haingii akilini..
 
Back
Top Bottom