Uganda, Makerere: Afisa utawala afukuzwa baada ya kushitakiwa kwa kumdhalilisha Mwanachuo kimapenzi

Uganda, Makerere: Afisa utawala afukuzwa baada ya kushitakiwa kwa kumdhalilisha Mwanachuo kimapenzi

Hii habari ina utata sana, ila wakenya nao wajanja wajanja sana na sheria wanazijua. Huyu binti alijua anachokifanya ila profesa kaingia kwenye mtego.

Kuna siku Nairobi nilipotelewa na pesa hotelini kama 100 USD, nikamuuliza kijana anaefanya usafi kama kwa namna yeyote ameziona. Akasema hajachukua, nikamwambia nitoe taarifa kwa mkuu wako wa kazi? Akasema ni sawa tu! Dah, ile ningeenda kichwakichwa angecheza na sheria na ingekula kwangu. Nikaishia kutoa taarifa bila kusema au kumtuhumu mtu.
 
Mpuuzi huyo mwanafunzi, sema kuna mambo wamepishana na huyo jamaa,
Haiingii.akilini dada mzima ufanyiwe vile na apate mda wa kumpiga picha mhusika.

Jamaa kaingizwa mkenge na dellilah!!
Kweli aseeh kuna uwezekano kaingizwa mkenge hapa huenda walipishana kwenye harakati..........
 
Kweli aseeh kuna uwezekano kaingizwa mkenge hapa huenda walipishana kwenye harakati..........
Aidha aliahidi kumpa grade ya juu kwenye somo halafu akapunguza au aliahidi fedha/zawadi fulani halafu hakutimiza au alimsaliti kwa kutembea na mrembo mwingine au .......
 
Jamaa nalo?! Sasa mdomo ukipata Gono si itakuwa mbinde?!
Eti linakimbilia kunyonya badala kuusweka nyavuni?! Kweli kila mtu na akili zake..
Ila litoto la Kinyarwanda hilo, shape matata...
 
Mbona hiyo picha ya kwanza naona kama huyo bint alivua nguo kabisa?
 
Hii habari ina utata sana, ila wakenya nao wajanja wajanja sana na sheria wanazijua. Huyu binti alijua anachokifanya ila profesa kaingia kwenye mtego.

Kuna siku Nairobi nilipotelewa na pesa hotelini kama 100 USD, nikamuuliza kijana anaefanya usafi kama kwa namna yeyote ameziona. Akasema hajachukua, nikamwambia nitoe taarifa kwa mkuu wako wa kazi? Akasema ni sawa tu! Dah, ile ningeenda kichwakichwa angecheza na sheria na ingekula kwangu. Nikaishia kutoa taarifa bila kusema au kumtuhumu mtu.
Makerere ipo uganda mkuu.
Vp baada ya kutoa taarifa ikawaje
 
Makerere ipo uganda mkuu.
Vp baada ya kutoa taarifa ikawaje

Mkuu unafikiri kweli sijui Makerere iko Uganda? Au chuo kikiwa Uganda hakichukui wanafunzi wa nchi zingine?

Hilo jina umeliona na kulielewa vizuri? Anaitwa Njoroge Racheal Njeri

mak-300x225.jpeg

Maelezo yake haya hapa

Trending: Makerere student speaks out on how university administrator sexually harassed her
By
Moses Abeka
-
April 17, 2018

The internet has been ablaze with the selfie of one Njoroge Racheal Njeri as a man went down on her doing the obvious in a public office. It turned out that it was a Makerere student and one administrator. In a statement to Makerere Police Post CID revealed that she was sexually harassed as she went to certify her transcripts.

It reads:

She came to pick her transcript

“I Njoroge Racheal Njeri Reg No:13/k/2347/eve came to Makerere University on 13/4/2018 to certify my transcript and pick up my recommendation letter at around 10 am.When I got to the university, I was referred to room 507 for help where I was first chased away by the personnel in the office and he told me to wait until 2:30pm that he could help me out. I went out and waited patiently on the bench but when it clocked 4:40pm, I could not wait anymore and I went back to see if I had succeeded. When I got in the room, the staff told me to wait for 5 minutes and see if my transcripts had been worked on. Fortunately, my transcripts were certified and were handed over to me.

Administrator turns into animal

As I was looking through them, the man who had given me my transcript turned to be so unhuman to me. He grabbed my boobs and started licking them as he lamented how much he loved me. I tried to resist his actions but he was more stronger than I. He also grabbed me and threw me on the file cabinets at the corner where my head was hurt by the files and he started kissing my thighs and he told me that he had to lick my vagina.

Takes selfie

While he was in the process, I got my phone and captured some shots because I realized there were no cameras in the room to help me out if I had reported the case. I tried calling Steve in room 515 to help me out but unfortunately the man (room 507) hanged up on me and threw my phone on the chair. He continued harassing me and that’s when he put his fingers in my vagina which was so painful to me.

I threatened him that I was going to report and make a call to Steve and that’s when he opened for me the room since he had locked it. I got out crying. ”

Chanzo

Trending: Makerere student speaks out on how university administrator sexually harassed her
 
Hii tabia vyuoni ni sugu mno nadhani hii ni solutions nzuri kukomesha hii tabia
 
Mpuuzi huyo mwanafunzi, sema kuna mambo wamepishana na huyo jamaa,
Haiingii.akilini dada mzima ufanyiwe vile na apate mda wa kumpiga picha mhusika.

Jamaa kaingizwa mkenge na dellilah!!
Hivi vitabia chuoni ni sugu wanawake wakiamua kuwashtaki hamna anayebaki salama
 
Bora angemkaza kabisa kama noma iwe noma sio kuishia kuchezea simi tu
 
Back
Top Bottom