Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Salaam Wakuu,

Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala.

Wabunge watawanyia kuokoa maisha.

Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake

Leo pia kuna mlipuko wa bomu uliotokea jijini Kampala Uganda. Watu wawili wamefariki. Hii ni tukio la tatu la kigaidi kuikumba Uganda katika kipindi cha miezi miwili. Waganda waje kwetu tuwape mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugaidi. Hapa Nairobi hakujakuwa na shambulio la kigaidi kuanzia January 2019 ilhali sisi tunapakana na Somalia. Sisi tuna maarifa ya jinsi ya kupambana na hawa Al shaitan. Halafu Malazy nyie hamujawahi kupambana na ugaidi kwa hivyo kaeni kando kwa maana hamna maarifa yoyote katika nyanja hii.

Imetokea milipuko miwili ya mambo nje ya bunge la kitaifa mjini kampala na mwingine karibu na makao makuu ya polisi mjini kampala na barabra zote zinazopita eneo hilo kufungwa

Bado serkali ya uganda haijasema athari za milipuko hiyo ikiwa ni baada ya milipuko kadhaa nchini humo siku za karibuni

Kundi la kigaidi la ADF limekuwa likihusika katika ulipuaji huo kwa kutoa taarifa baada ya matukio lakini kwa leo bado kundi lolote halijatoa taarifa

Wabunge wote wameambiwa kuondoka eneo la bunge na kufunga shugli za bunge kwa kuwa muda

Ubalozo wa uingeleza ulitoa taarifa ya shambulio la ugaidi nchini uganda mwezi uliopita

Mji wa Kampala ambao umewekwa CCTV camera maeneo mengi bado umeshindwa kubaini na kupata picha za wahusika tangu tukio la shambulio la mwanza

USSR
 
Leo pia kuna mlipuko wa bomu uliotokea jijini Kampala Uganda. Watu wawili wamefariki. Hii ni tukio la tatu la kigaidi kuikumba Uganda katika kipindi cha miezi miwili. Waganda waje kwetu tuwape mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugaidi. Hapa Nairobi hakujakuwa na shambulio la kigaidi kuanzia January 2019 ilhali sisi tunapakana na Somalia. Sisi tuna maarifa ya jinsi ya kupambana na hawa Al shaitan. Halafu Malazy nyie hamujawahi kupambana na ugaidi kwa hivyo kaeni kando kwa maana hamna maarifa yoyote katika nyanja hii.

Kagame anamnyoosha mtu!
 
Screenshot_20211116-121116_Edge.jpg
 
Yani hili bara lina changamoto nyingi sana sijui tulimkosea nini MUNGU.
Tunapenda kuuana sana , tunamchukiza MUNGU.. walichofanya majeshi ya UGANDA Somalia hakivumiliki watakatwa viuno na mabomu ya kujitoa muhanga mpaka waite maji ”mma ”” wasomali hawauliwi tu vile wakuache.
 
Leo pia kuna mlipuko wa bomu uliotokea jijini Kampala Uganda. Watu wawili wamefariki. Hii ni tukio la tatu la kigaidi kuikumba Uganda katika kipindi cha miezi miwili. Waganda waje kwetu tuwape mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugaidi. Hapa Nairobi hakujakuwa na shambulio la kigaidi kuanzia January 2019 ilhali sisi tunapakana na Somalia. Sisi tuna maarifa ya jinsi ya kupambana na hawa Al shaitan. Halafu Malazy nyie hamujawahi kupambana na ugaidi kwa hivyo kaeni kando kwa maana hamna maarifa yoyote katika nyanja hii.

Wewe naona unakufuru sana mkuu pls omba Mungu yasikukute.
 
Salaam Wakuu,

Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala.

Wabunge watawanyia kuokoa maisha.
View attachment 2012589
Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
View attachment 2012597
View attachment 2012602
Lile dikteta M7 lilionywa likakaza shingo kuwa vyombo vyake vya ulinzi na usalama vimemhakikishia kuwa hakuna tishio lolote la kigaidi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom