Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

Duu! Inabidi serikali na bunge la Uganda vijitathmin! Swali kwanini walipuaji hawakuwalipua wananchi, wakawalipua maofisa wa polisi? Je kwanini wasilipuwe eneo jingine wakalipuwe mtaa wa bunge??

F37F68F8-49C4-4C3D-B60F-0CD00FFCD82D.jpeg
 
Gaidi hamza hakutumia hata jero kuuwa askari wote wale,wewe una shangaa ya gaidi mbowe mbona nyingi hizo [emoji23][emoji1787]
Au ni kwa sababu ni mwana ccn ndiyo maana hakutumia fweedhaaa?
 
Halafu viazi vya bavicha vinatoka povu kwa kumtetea gaidi mbowe kama vile hayajui madhara ya ugaidi [emoji23][emoji1787]
Kwani mbona nyinyi ma uvccm hamkumkataza gaidi mwenzenu asifanye aliyo yafanya?
 
Hata sijui, sijui ni tension na rwanda, sijui ni alshabab...yani hatariii...
kuna kundi la kigaidi kule msitu wa congo la ADF wale wanaosema wanataka kuifanya uganda kuwa ya kiislam. wana muunganiko na isis, kamanda wao alikamatwaga kipindi fulani dsm akapelekwa kisutu kwa extradition na kurudishwa uganda kama unakumbuka. rwanda hawezi hata siku moja kuivamia au kuishambulia nchi yeyote africa mashariki isipokuwa congo na burundi.
 
kuna kundi la kigaidi kule msitu wa congo la ADF wale wanaosema wanataka kuifanya uganda kuwa ya kiislam. wana muunganiko na isis, kamanda wao alikamatwaga kipindi fulani dsm akapelekwa kisutu kwa extradition na kurudishwa uganda kama unakumbuka. rwanda hawezi hata siku moja kuivamia au kuishambulia nchi yeyote africa mashariki isipokuwa congo na burundi.
Sure hatarii mkuu...
 

Milipuko Uganda: Watu 6 wafariki katika milipuko Kampala​


Wreckage of police vehicles at the scene of the blast

CHANZO CHA PICHA, PHOTOSHOT​

Polisi nchini uganda wamethibitisha kwamba takriban watu sita wamefariki katika milipuko iliyotokea mjini Kampala mapema leo.

Shirika la habari la Reuters linanukuu kituo cha televisheni cha ndani juu ya idadi ya vifo.

NTV Uganda imesema Meya wa Kampala Salim Uhuru ndiye chanzo cha habari za vifo vya watu wawili vilivyoripotiwa hapo awali
Ripota wa NTV alisema aliona sehemu za mwili zikiwa zimetapakaa katika eneo moja la mlipuko huo:

Ruka Twitter ujumbe, 1

Mwisho wa Twitter ujumbe, 1

Majengo ya ofisi yalitikisika wakati milipuko hiyo ilipoanza, baadhi ya mashahidi wameiambia BBC.

Gazeti la Daily Monitor limesambaza video ya magari yakiungua nje ya jengo la bima baada ya mlipuko huo:

Haijulikani ni watu wangapi wamejeruhiwa.

Mwezi uliopita, milipuko miwili tofauti nchini humo iliua watu wawili. Mmoja ulimuua mhudumu katika baa na mwingine, mshambuliaji wa kujitoa mhanga ambaye alikuwa ameingiza vilipuzi kwenye basi.

Mamlaka nchini humo zimeshutumu milipuko hiyo ya Oktoba dhidi ya kundi la waasi wa Kiislamu lenye makao yake makuu nchini Uganda, DR Congo, Allied Democratic Forces.

Takriban watu 50 wamekamatwa, na wengine kushtakiwa mahakamani, tangu matukio hayo ya hivi majuz
 
Back
Top Bottom