Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

Hakuna ugaidi Uganda, mi nahisi huu ni mchezo wa m7 mwenyewe. Kwan uchaguzi Uganda lini?
 
Duu! Inabidi serikali na bunge la Uganda vijitathmin! Swali kwanini walipuaji hawakuwalipua wananchi, wakawalipua maofisa wa polisi? Je kwanini wasilipuwe eneo jingine wakalipuwe mtaa wa bunge??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…