pashamwendo
Member
- Mar 11, 2017
- 88
- 40
taarifa zilizonifikia hivi punda kutoka nchi jirani ya uganda ni kwamba aliyekuwa I.g.p msaidizi bwana andrew kawesa ambaye alikuwa na tuhuma za kuwatesa wapinzani nchini humo hasa dr kiiza amepigwa risasi na mlinzi wake kisha kutelekezwa garini huku mlinzi huyo akidaiwa kutokomea kusikojulikana
Baaaas.Hoja ya msingi ni kutenda haki tu.