pashamwendo
Member
- Mar 11, 2017
- 88
- 40
Intelligence imefanya kazi yake..r.i.p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taarifa zilizonifikia hivi punda kutoka nchi jirani ya uganda ni kwamba aliyekuwa I.g.p msaidizi bwana andrew kawesa ambaye alikuwa na tuhuma za kuwatesa wapinzani nchini humo hasa dr kiiza amepigwa risasi na mlinzi wake kisha kutelekezwa garini huku mlinzi huyo akidaiwa kutokomea kusikojulikana![]()
Baaaas.Hoja ya msingi ni kutenda haki tu.