Uganda: Museveni agoma kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha hadi Bunge lifute Bilioni 750 za OC

Uganda: Museveni agoma kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha hadi Bunge lifute Bilioni 750 za OC

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa wazi.👇👇

museven.jpg

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini Muswada wa Matumizi ya Pesa za Bajeti 2024 hadi Bunge la nchi hiyo litakaporejesha Sh750 bilioni zilizotengewa kwa ajili ya matumizi ya mipango muhimu ya serikali katika mwaka wa kifedha 2024/2025.

Ni q
Wazi hizo Nchi Zina wabunge vilema wa akili ukilinganisha na Bunge la Tanzania lililojaa Wabunge wabobezi ambao wamekuwa wakiisimamia Serikali vizuri.

Mojawapo ya mambo waliyofanikisha ni hili hapa Kutoka Bungeni, Serikali imesema Itakata OC Kwa 20%,Magari Kwa 50%, Matengenezo Kwa 50%.Itaondoa Kodi kwenye gesi

My Take
Ni Wazi Bunge la Tanznaia lilolojaa wasomi na linaloongozwa na Spika Makini liko makini kuliko huko kwingine.👇👇


Serikali yaondoa ushuru wa Tsh. 382 kwenye gesi asilia ya magari
 
East Africa imechangamka ule msemo wa mwenzako akinyolewa naona M7 aliutilia maanani tumebaki na huyu bi chura
 
Back
Top Bottom