Uganda: Museveni agoma kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha hadi Bunge lifute Bilioni 750 za OC

Uganda: Museveni agoma kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha hadi Bunge lifute Bilioni 750 za OC

Tanznaia Haina maigizo Wala ujinga wa dizaini hiyo.

Pia utaratibu wa Tzn ni kinyume na hao sisi huku Rais asiposaini Bill Serikali inahesanika imeanguka.
Wanasheria huko Kenya wanalifikiria Hilo. Muhimili mmoja usiingilie uamuzi wa mwingine
 
..Finance Bill huwa haiendi Bungeni bila kuwa imeridhiwa na Raisi na Baraza lake la Mawaziri.

..Sasa katika mazingira hayo Rais Museveni anapingaje hiyo Finance Bill, kama sio unafiki tu?
 
Back
Top Bottom