Uganda: Museveni agoma kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha hadi Bunge lifute Bilioni 750 za OC

Uganda: Museveni agoma kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha hadi Bunge lifute Bilioni 750 za OC

Yule anayelia sana hata kama hajasoma mada hajafika tu?
Kuna kila sababu ya kububujikwa na machozi, mbuzi wamefungwa midomo wasile.
Screenshot_20240627-123509_Facebook.jpg
 
Japo kinyonge ila wakati upo muamko na uelewa wa wananchi miaka 5 ya JPM inatosha kutufikisha kwenye maamuzi magumu ambayo ccm na majambazi yao hawajahi kuota
Umeandika ujinga gani unapomtaja huyo looser? Nini hoja Yako bwana Sukuma gang.
 
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa wazi.👇👇

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1806260843740361085?t=cLQRKPsJpWfxXL2VapX2qA&s=19

My Take
Ni Wazi Bunge la Tanznaia lilolojaa wasomi na linaloongozwa na Spika Makini liko makini kuliko huko kwingine.👇👇

View: https://twitter.com/TBConlineTZ/status/1805943513680331144?t=-f7YaZVCPVJb_pf1ur6Hsg&s=19

View: https://www.instagram.com/p/C8trFT8R2oB/?igsh=MXJxcG1sMm9nMW1ubg==

🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom