Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa wazi.ππ
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini Muswada wa Matumizi ya Pesa za Bajeti 2024 hadi Bunge la nchi hiyo litakaporejesha Sh750 bilioni zilizotengewa kwa ajili ya matumizi ya mipango muhimu ya serikali katika mwaka wa kifedha 2024/2025.
Ni q
Wazi hizo Nchi Zina wabunge vilema wa akili ukilinganisha na Bunge la Tanzania lililojaa Wabunge wabobezi ambao wamekuwa wakiisimamia Serikali vizuri.
Japo kinyonge ila wakati upo muamko na uelewa wa wananchi miaka 5 ya JPM inatosha kutufikisha kwenye maamuzi magumu ambayo ccm na majambazi yao hawajahi kuota