britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Museven yatamkuta ya kina Gaddafi na Mubarak.Ukichoka na maisha,woga unaondoka
Museven yatamkuta ya kina Gaddafi na Mubarak.
Nimeangalia hiyo video hadi mwisho mbona hakuna sehemu mtu aliye charazwa hayo makofi?
Hapo ukute hata video hajaangalia nae kaibeba na kuleta hukuSi unajua wabongo kwa kukolezea mambo
Hayo uliyoyaona ni ushahidi tosha kuwa watu wa Uganda wamechoka na utawala uliopo,haina haja ya kuona Waziri kupigwa Makofi,Tusubiri na hapa kwetu..Ni wapi mtu kacharazwa makofi mbona nimeangalia nimeona huyo mdada anafoka tu mpaka video inaisha
Ungesema hivi hari hii ifikie kwa viongozi wa CCM wote, ndo waliotufikisha hapa tulipo mpaka kutawaliwa na kichaaMatukio haya ilibidi yawatokee kina Mkapa na Kikwete, kwa kweli wale marais ni wapuuzi sana na wako very useless. Kwanini tusiwakamate na kuwashikisha adabu huko mikoani na mitaani.
Wabongo wape picture tu inatosha,, story wanatunga wenyeweNimeangalia hiyo video hadi mwisho mbona hakuna sehemu mtu aliye charazwa hayo makofi
Kuna kila dalili, hajifunzi kwa Mugabe
Kabisakwa serikali iliyopo afrika hata simulia ukoo mzm uyo hatakachofanyiwa
Ha ha ha.Hapo ukute hata video hajaangalia nae kaibeba na kuleta huku