Uganda: Mwanamke amuwakia waziri wa elimu

Uganda: Mwanamke amuwakia waziri wa elimu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nchini Uganda mwanamke ambaye ni mwananfunzi aliyekosa kusomeshwa na Serikali anevamia mkutano wa mawaziri na kuwavuruga kwa kusema maneno machafu na kumtukana Waziri wa elimu, kwamba ni bogus, anakaa kumshangilia Rais Museveni na kununua ipad kwa wabunge wezi.

Nimeangalia hiyo video hadi mwisho mbona hakuna sehemu mtu aliye charazwa hayo makofi?
 
Ni wapi mtu kacharazwa makofi mbona nimeangalia nimeona huyo mdada anafoka tu mpaka video inaisha
 
Matukio haya ilibidi yawatokee kina Mkapa na Kikwete, kwa kweli wale marais ni wapuuzi sana na wako very useless. Kwanini tusiwakamate na kuwashikisha adabu huko mikoani na mitaani.
 
Matukio haya ilibidi yawatokee kina Mkapa na Kikwete, kwa kweli wale marais ni wapuuzi sana na wako very useless. Kwanini tusiwakamate na kuwashikisha adabu huko mikoani na mitaani.
Ungesema hivi hari hii ifikie kwa viongozi wa CCM wote, ndo waliotufikisha hapa tulipo mpaka kutawaliwa na kichaa
 
Uganda hiyo!!
Hata huku Watachoka Muda ndiyo jibu
Nimeiona pia Video ya Monica 😂 Jiwe akajifanya kuzuga.. Ooh Kuna vidume Wameshaanza Kumtolea Macho.. Mara Monica oyeee..haha ..Akaona isitoshe Kawachangisha Wabunge na Mawaziri..
 
Back
Top Bottom