Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Kenya mna roho ya kichawi!
Quite uncivilized with adulterated brain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya mna roho ya kichawi!
Hampendi yule anaye umbua propaganda zenu uchwara[emoji23]., the Kenya's free media has exposed your govt's idiotic moves yenye raiya wa kawaida wa Tanzania hawayajui, it is through Kenyan media ndio mlijuzwa Mkulu ni mgonjwa, nyie mkadanganywa eti ako kazini na anaendelea salama, kwa heshima serikali ya Kenya ikaweka mambo ya ugonjwa na kifo cha mkulu secret, a classified issue, sidhani Tanzania ingefanya vile if it were vice versa. Very professional and ethical. Unfortunately kwa ulimwengu wa leo wa mitandao mambo yana sambaa unchecked, porojo na ukweli in the same measure.Kenya kwa kujipendekeza na kujifanya rafiki hawajambo... Uganda ni ndugu wa kweli, watanzania walimwaga damu kuondoa id amin.. Hautawai sikia minong'ono au uzushi kutoka uganda dhidi ya Tz
Ameganda akili, aambiliki. Chief propagandist and a blind patriot[emoji23], anajulikana.Huyo mzee anahitaji mental check-up
Kaguta na Kagame watakuja chato kwenye mazishi"Ukweli ktk msiba huu nimeamini Nchi za Kenya na Uganda ndio jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania. Uhuru Kenyata alitangaza siku 7 za Maombolezo kwa taifa la Kenya. Yoweri Museveni na yeye Alitangaza siku 14 za maombolezo kwa wananchi wa Uganda."
Hata Rwanda mbona walitangaza maombolezo mpk atakapozikwa mkuu?
Kuna msemo wa Kiswahili usemao Rafiki/ Jirani wa kweli utamjua wakati wa shida. Tanzania imekua nchi ya kwanza kwa kuondokewa na Rais wake kipenzi aliyekuwa madarakani. DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Ukweli ktk msiba huu nimeamini Nchi za Kenya na Uganda ndio jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania. Uhuru Kenyata alitangaza siku 7 za Maombolezo kwa taifa la Kenya. Yoweri Museveni na yeye Alitangaza siku 14 za maombolezo kwa wananchi wa Uganda. Uhuru Kenyata pia hakusita kufika Tanzania kutupa mkono wa pole.
Televisheni za Kenya ( KTN) na Televisheni ya Uganda ( UBC) zimekua zikiripoti taarifa za msiba kwenye taarifa zake za Habari.
Leo Dodoma kwenye Maombolezo ya kitaifa Televisheni za Uganda ( UBC) na Kenya ( KTN) zipo Mubashara kurusha matukio yote.
Ila Mwenzetu Rwanda ( RTV) yupo na mambo yake anayoyajua.
Ukweli utabaki wazi Kenya na Uganda ndio Marafiki na Ndugu wa Tanzania.
Wakenya nimewaheshimu sana.
Umesikia nchi zingine zikiongea mambo ya ndani ya Tanzania? Ni kenya tu na magazeti ya ulaya.. Sasa huu udaku ndio mnao jikwaa nao..Hampendi yule anaye umbua propaganda zenu uchwara[emoji23]., the Kenya's free media has exposed your govt's idiotic moves yenye raiya wa kawaida wa Tanzania hawayajui, it is through Kenyan media ndio mlijuzwa Mkulu ni mgonjwa, nyie mkadanganywa eti ako kazini na anaendelea salama, kwa heshima serikali ya Kenya ikaweka mambo ya ugonjwa na kifo cha mkulu secret, a classified issue, sidhani Tanzania ingefanya vile if it were vice versa. Very professional and ethical. Unfortunately kwa ulimwengu wa leo wa mitandao mambo yana sambaa unchecked, porojo na ukweli in the same measure.
Wivu na chuki based on ignorance and fueled by propaganda ndio zinawasumbua. Mko ovyo, better you realize it early mpone, la sivyo, mtaendelea kubaki ovyo mlivyo.
Always sick.Umesikia nchi zingine zikiongea mambo ya ndani ya Tanzania? Ni kenya tu na magazeti ya ulaya.. Sasa huu udaku ndio mnao jikwaa nao..
Nyie malaika mnapo chinjana kikabila, police brutality, ufisadi, assassinations etc umesikia Tz ikiwasema? Sini Tz tu huwa wanatuma delegation kuwapatanisha? Hata hiyo BBI yenu kabudi kaja kuwapea lecture..
Hebu tuambie isipokua "magnamity" ya Tz rafiki wa kenya mwingine ni nani
Wagombanao ndio wapatanao, pinga na hilo sasaKenya kwa kujipendekeza na kujifanya rafiki hawajambo... Uganda ni ndugu wa kweli, watanzania walimwaga damu kuondoa id amin.. Hautawai sikia minong'ono au uzushi kutoka uganda dhidi ya Tz
As if u dont propagate such news. Una ulivyo mwehu and biased. Ukweli lazima usemwe. Suit yourself.Umesikia nchi zingine zikiongea mambo ya ndani ya Tanzania? Ni kenya tu na magazeti ya ulaya.. Sasa huu udaku ndio mnao jikwaa nao..
Nyie malaika mnapo chinjana kikabila, police brutality, ufisadi, assassinations etc umesikia Tz ikiwasema? Sini Tz tu huwa wanatuma delegation kuwapatanisha? Hata hiyo BBI yenu kabudi kaja kuwapea lecture..
Hebu tuambie isipokua "magnamity" ya Tz rafiki wa kenya mwingine ni nani
Kwanza asingelikuja uhuru jf kusingekalika aisee manake vile vijembe tungelishwa hapa..we acha2..Ingia kwenye TV za Rwanda uone hayo maombolezo? Hivi kweli Kagame ameshindwa kuja Tz kwenye Msiba? Uhuru na yeye angefanya hivyo je unahisi ingekua vizuri?
kenya ni wachawi yaani vigagula!Umesikia nchi zingine zikiongea mambo ya ndani ya Tanzania? Ni kenya tu na magazeti ya ulaya.. Sasa huu udaku ndio mnao jikwaa nao..
Nyie malaika mnapo chinjana kikabila, police brutality, ufisadi, assassinations etc umesikia Tz ikiwasema? Sini Tz tu huwa wanatuma delegation kuwapatanisha? Hata hiyo BBI yenu kabudi kaja kuwapea lecture..
Hebu tuambie isipokua "magnamity" ya Tz rafiki wa kenya mwingine ni nani
Always sick.
Sorry, dont expect pillows in a gun fight.As if u dont propagate such news. Una ulivyo mwehu and biased. Ukweli lazima usemwe. Suit yourself.
Nyie mumelishwa propaganda tu, km serekali ingelikua inawajali wala wasingewaficha kuanzia mwanzo..leta evidence! najua dhamira inakusuta baada ya kuwfitinisha ugonjwa wa JPM kwa mawiki kadhaa!! Ikiwemo kuzuia mahindi ya Tanzania na Uganda kuingia Kenya!
Tatizo magufufuli baya lake moja ambalo kw leo nitakisema ingawaje km nitakua nawakosea munisamehe..Ni laana inawasumbua, giza kimewafumba akili, wengi hamuna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua zenu. Mko ovyo, inadhihirika kila uchao. Mnatia huruma.
Wagombanao ndio kina nani? Tz haijawai gombana na kenya.. Ile siku kutakua na ugomvi nairobi itakuwa mikononi mwa JWTZ chini ya masaa sitaWagombanao ndio wapatanao, pinga na hilo sasa
Kukwaruzana ndio kwanza urafiki huzidi kudumu, ukiachilia mbali kw kuongoza kw migogoro sisi ndio nchi pekee km sijakosea katika ukanda huu ambayo serikali haijawai pigana vita na serekali ingineRafiki wa kenya ni Tanzania sababu Tz kuna ustaarabu hata mwendawazimu Tz hawabagui, Lakini Tz kutokana na juhudi za nyerere ina marafiki wengi wa kufa kufaana..Sema Zambia, Zimbabwe, South Africa Msumbiji. Wengi tu
Kenya kwa sasa ina migogoro na kila nchi jirani yake.. Somalia, Uganda, ethiopia, south sudan etc.. Ni ustaarabu wa Tz ambao unafanya wakenya wajione marafiki wa Tz
Sema hivi, kenya ni ndugu wa damu lkn anapenda ujanja sanakenya ni ndugu kbs maana mambo mengi ya kijamii tunaendana sana sana kuliko jirani yeyote yule hilo ni sawa kbs lkn ndg huyu si muaminifu sn ...kuna nchi ambazo kijamii hatuingiliani kihivo lkn ni truly friends kama zimbabwe,botswana,south africa,msumbiji,namibia na zambia
Narudia tena Kenya ni ndg yetu pure wa damu lkn ni mpenda mali sn
Watu wanaongeleana mambo ya ndani basi km sio ndugu ni wanafamilia au marafiki wakaribu babu..Umesikia nchi zingine zikiongea mambo ya ndani ya Tanzania? Ni kenya tu na magazeti ya ulaya.. Sasa huu udaku ndio mnao jikwaa nao..
Nyie malaika mnapo chinjana kikabila, police brutality, ufisadi, assassinations etc umesikia Tz ikiwasema? Sini Tz tu huwa wanatuma delegation kuwapatanisha? Hata hiyo BBI yenu kabudi kaja kuwapea lecture..
Hebu tuambie isipokua "magnamity" ya Tz rafiki wa kenya mwingine ni nani