Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

Watu wanaongeleana mambo ya ndani basi km sio ndugu ni wanafamilia au marafiki wakaribu babu..
[emoji1787]
Hapa unapiga kelele lkn ahuru ansingelihudhuria km vile alivyofanya kagame, jf sai ingeliwaka moto
Wanafiki kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna msemo wa Kiswahili usemao Rafiki/ Jirani wa kweli utamjua wakati wa shida. Tanzania imekua nchi ya kwanza kwa kuondokewa na Rais wake kipenzi aliyekuwa madarakani. DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.

Ukweli ktk msiba huu nimeamini Nchi za Kenya na Uganda ndio jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania. Uhuru Kenyata alitangaza siku 7 za Maombolezo kwa taifa la Kenya. Yoweri Museveni na yeye Alitangaza siku 14 za maombolezo kwa wananchi wa Uganda. Uhuru Kenyata pia hakusita kufika Tanzania kutupa mkono wa pole.

Televisheni za Kenya ( KTN) na Televisheni ya Uganda ( UBC) zimekua zikiripoti taarifa za msiba kwenye taarifa zake za Habari.

Leo Dodoma kwenye Maombolezo ya kitaifa Televisheni za Uganda ( UBC) na Kenya ( KTN) zipo Mubashara kurusha matukio yote.
Ila Mwenzetu Rwanda ( RTV) yupo na mambo yake anayoyajua.

Ukweli utabaki wazi Kenya na Uganda ndio Marafiki na Ndugu wa Tanzania.

Wakenya nimewaheshimu sana.

nyoka wa Kikenya tayari mnamhukumu Kagame na Museveni as if wamewaambia wamesusa? what if watakuwapo Chato? Hii roho ya husda mpaka lini?
 
Tatizo magufufuli baya lake moja ambalo kw leo nitakisema ingawaje km nitakua nawakosea munisamehe..
Jamaa kafanikiwa kuwafanya maskini waukumbatie umaskini huku wakijiaminishia matajiri wote wataporwa na kuwa maskini km wao..
Soma kauli ya mmoja wao., You have nailed it!

View attachment 1731670
Screenshot_20210322-125311.jpg

Screenshot_20210322-125259.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210322-125116.jpg
    Screenshot_20210322-125116.jpg
    73.3 KB · Views: 2
Watu wanaongeleana mambo ya ndani basi km sio ndugu ni wanafamilia au marafiki wakaribu babu..
[emoji1787]
Hapa unapiga kelele lkn ahuru ansingelihudhuria km vile alivyofanya kagame, jf sai ingeliwaka moto
Boss Tz & kenya are just neighbours, thats all, just like kenya and somalia.. Any semblance of Friendship is because of Tanzania's maturity and magnamity otherwise the relationship would be similar to the ones you have with somalia, ethiopia or south sudan
 
Kingereza cha nini sasa, naona ukweli umekuingia sasa[emoji1787][emoji1787]
Mumeumbuka basi, uhuru kahudhuria sijui mtaambia nini watu
 
Tatizo magufufuli baya lake moja ambalo kw leo nitakisema ingawaje km nitakua nawakosea munisamehe..
Jamaa kafanikiwa kuwafanya maskini waukumbatie umaskini huku wakijiaminishia matajiri wote wataporwa na kuwa maskini km wao..
Nikuambie tu jamaa yangu na jirani yangu usiongee usichotambua watu wengi wameingua uchumi wao kupitia magufuli

mfano mimi nipo kwenye migodi huku ukiangalia migodi mingi ilikuwa ikionekana kuna uzalishaji mkubwa watu wanaleta janja janja inachukuliwa na watu wenye nacho sasa baada ya utawala wa magu watu wengi wamenufaika kwenye hiyo migodi maana aikuwa ikitawalika

Kingine watanzania wengi walikuwa wamebweteka awafanyi kazi wala kujishughulisha ila toka jamaa aingie madarakani hata improvement ya miji midogo imeonekana kukua zaidi sasa ni magu gani ambae wewe unamsemea ambae anatengenezea wananchi wake umasikini.
 
Huyu nani ka post mkuu nikajisomee mwnywe vizuri..

Manake naona kuna sehemu hapo kasema ukiangalia wengi ni maskini, sai wamenza kuogopa ya kwamba kuna watu watakua matajiri tena..
Kwhyo wanaogopa kubakia pekeyao[emoji1787][emoji1787]
Kweli km mtu humpendi ni balaa sana aisee
Acha unafki jamaa
 
"Ukweli ktk msiba huu nimeamini Nchi za Kenya na Uganda ndio jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania. Uhuru Kenyata alitangaza siku 7 za Maombolezo kwa taifa la Kenya. Yoweri Museveni na yeye Alitangaza siku 14 za maombolezo kwa wananchi wa Uganda."

Hata Rwanda mbona walitangaza maombolezo mpk atakapozikwa mkuu?
Hata mimi nilimskia wa Rwanda amesema mpaka atakapozikwa
 
Naona umeanza kupindisha pindisha wakati uhuru angekosa hapa ungekikua wa kwanza kueneza propanga mlizolishwa
Uhuru ana shida ndio pia kwa magu kwake ilivyokuwa shida ipo kwa wale watu wa chini yao ndio wanaoeneza sumu kwenda tu ubalozini ingewezekana ikatosha tu kuonyesha ushilikiano lakini ilikuwa muhimu kuja kwa uhuru sio tu kwamba jumuiha bali ukanda wetu amna cha kupinga sisi ni ndugu wa jamii moja
 
Back
Top Bottom