Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

Kenya kwa kujipendekeza na kujifanya rafiki hawajambo... Uganda ni ndugu wa kweli, watanzania walimwaga damu kuondoa id amin.. Hautawai sikia minong'ono au uzushi kutoka uganda dhidi ya Tz
Hampendi yule anaye umbua propaganda zenu uchwara[emoji23]., the Kenya's free media has exposed your govt's idiotic moves yenye raiya wa kawaida wa Tanzania hawayajui, it is through Kenyan media ndio mlijuzwa Mkulu ni mgonjwa, nyie mkadanganywa eti ako kazini na anaendelea salama, kwa heshima serikali ya Kenya ikaweka mambo ya ugonjwa na kifo cha mkulu secret, a classified issue, sidhani Tanzania ingefanya vile if it were vice versa. Very professional and ethical. Unfortunately kwa ulimwengu wa leo wa mitandao mambo yana sambaa unchecked, porojo na ukweli in the same measure.
Wivu na chuki based on ignorance and fueled by propaganda ndio zinawasumbua. Mko ovyo, better you realize it early mpone, la sivyo, mtaendelea kubaki ovyo mlivyo.
 
kenya ni ndugu kbs maana mambo mengi ya kijamii tunaendana sana sana kuliko jirani yeyote yule hilo ni sawa kbs lkn ndg huyu si muaminifu sn ...kuna nchi ambazo kijamii hatuingiliani kihivo lkn ni truly friends kama zimbabwe,botswana,south africa,msumbiji,namibia na zambia

Narudia tena Kenya ni ndg yetu pure wa damu lkn ni mpenda mali sn
 
Kaguta na Kagame watakuja chato kwenye mazishi
 

Mkuu Carica_papaya , nashukuru kwa taarifa hii. Juzi Jumamosi nadhani na Jumapili nilishuhudia vituo kadhaa vya kenya mfano KBC, NTV, CITZEN na K24 vikirusha matangazo Live ya kumuaga Mpendwa wetu JPM.

Ahsante
 
Umesikia nchi zingine zikiongea mambo ya ndani ya Tanzania? Ni kenya tu na magazeti ya ulaya.. Sasa huu udaku ndio mnao jikwaa nao..
Nyie malaika mnapo chinjana kikabila, police brutality, ufisadi, assassinations etc umesikia Tz ikiwasema? Sini Tz tu huwa wanatuma delegation kuwapatanisha? Hata hiyo BBI yenu kabudi kaja kuwapea lecture..
Hebu tuambie isipokua "magnamity" ya Tz rafiki wa kenya mwingine ni nani
 
Always sick.
 
Kenya kwa kujipendekeza na kujifanya rafiki hawajambo... Uganda ni ndugu wa kweli, watanzania walimwaga damu kuondoa id amin.. Hautawai sikia minong'ono au uzushi kutoka uganda dhidi ya Tz
Wagombanao ndio wapatanao, pinga na hilo sasa
 
As if u dont propagate such news. Una ulivyo mwehu and biased. Ukweli lazima usemwe. Suit yourself.
 
Ingia kwenye TV za Rwanda uone hayo maombolezo? Hivi kweli Kagame ameshindwa kuja Tz kwenye Msiba? Uhuru na yeye angefanya hivyo je unahisi ingekua vizuri?
Kwanza asingelikuja uhuru jf kusingekalika aisee manake vile vijembe tungelishwa hapa..we acha2..

Kagame hakuhudhuria lkn jamaa wamepoa, ndio ujue hata wale wanaotuita wanafiki bado hawajakemea hilo, hata huyo geza kapoa sana lkn ingelikua uhuru ndio kakosa..weee sijui km angelituacha
 
kenya ni wachawi yaani vigagula!
 
leta evidence! najua dhamira inakusuta baada ya kuwfitinisha ugonjwa wa JPM kwa mawiki kadhaa!! Ikiwemo kuzuia mahindi ya Tanzania na Uganda kuingia Kenya!
Nyie mumelishwa propaganda tu, km serekali ingelikua inawajali wala wasingewaficha kuanzia mwanzo..
 
Ni laana inawasumbua, giza kimewafumba akili, wengi hamuna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua zenu. Mko ovyo, inadhihirika kila uchao. Mnatia huruma.
Tatizo magufufuli baya lake moja ambalo kw leo nitakisema ingawaje km nitakua nawakosea munisamehe..
Jamaa kafanikiwa kuwafanya maskini waukumbatie umaskini huku wakijiaminishia matajiri wote wataporwa na kuwa maskini km wao..
 
Kukwaruzana ndio kwanza urafiki huzidi kudumu, ukiachilia mbali kw kuongoza kw migogoro sisi ndio nchi pekee km sijakosea katika ukanda huu ambayo serikali haijawai pigana vita na serekali ingine
 
Sema hivi, kenya ni ndugu wa damu lkn anapenda ujanja sana
 
Watu wanaongeleana mambo ya ndani basi km sio ndugu ni wanafamilia au marafiki wakaribu babu..
[emoji1787]
Hapa unapiga kelele lkn ahuru ansingelihudhuria km vile alivyofanya kagame, jf sai ingeliwaka moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…