Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

Watu wanaongeleana mambo ya ndani basi km sio ndugu ni wanafamilia au marafiki wakaribu babu..
[emoji1787]
Hapa unapiga kelele lkn ahuru ansingelihudhuria km vile alivyofanya kagame, jf sai ingeliwaka moto
Wanafiki kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 

nyoka wa Kikenya tayari mnamhukumu Kagame na Museveni as if wamewaambia wamesusa? what if watakuwapo Chato? Hii roho ya husda mpaka lini?
 
Tatizo magufufuli baya lake moja ambalo kw leo nitakisema ingawaje km nitakua nawakosea munisamehe..
Jamaa kafanikiwa kuwafanya maskini waukumbatie umaskini huku wakijiaminishia matajiri wote wataporwa na kuwa maskini km wao..
Soma kauli ya mmoja wao., You have nailed it!

View attachment 1731670

 

Attachments

  • Screenshot_20210322-125116.jpg
    73.3 KB · Views: 2
Watu wanaongeleana mambo ya ndani basi km sio ndugu ni wanafamilia au marafiki wakaribu babu..
[emoji1787]
Hapa unapiga kelele lkn ahuru ansingelihudhuria km vile alivyofanya kagame, jf sai ingeliwaka moto
Boss Tz & kenya are just neighbours, thats all, just like kenya and somalia.. Any semblance of Friendship is because of Tanzania's maturity and magnamity otherwise the relationship would be similar to the ones you have with somalia, ethiopia or south sudan
 
Kingereza cha nini sasa, naona ukweli umekuingia sasa[emoji1787][emoji1787]
Mumeumbuka basi, uhuru kahudhuria sijui mtaambia nini watu
 
Tatizo magufufuli baya lake moja ambalo kw leo nitakisema ingawaje km nitakua nawakosea munisamehe..
Jamaa kafanikiwa kuwafanya maskini waukumbatie umaskini huku wakijiaminishia matajiri wote wataporwa na kuwa maskini km wao..
Nikuambie tu jamaa yangu na jirani yangu usiongee usichotambua watu wengi wameingua uchumi wao kupitia magufuli

mfano mimi nipo kwenye migodi huku ukiangalia migodi mingi ilikuwa ikionekana kuna uzalishaji mkubwa watu wanaleta janja janja inachukuliwa na watu wenye nacho sasa baada ya utawala wa magu watu wengi wamenufaika kwenye hiyo migodi maana aikuwa ikitawalika

Kingine watanzania wengi walikuwa wamebweteka awafanyi kazi wala kujishughulisha ila toka jamaa aingie madarakani hata improvement ya miji midogo imeonekana kukua zaidi sasa ni magu gani ambae wewe unamsemea ambae anatengenezea wananchi wake umasikini.
 
Acha unafki jamaa
 
Hata mimi nilimskia wa Rwanda amesema mpaka atakapozikwa
 
Naona umeanza kupindisha pindisha wakati uhuru angekosa hapa ungekikua wa kwanza kueneza propanga mlizolishwa
Uhuru ana shida ndio pia kwa magu kwake ilivyokuwa shida ipo kwa wale watu wa chini yao ndio wanaoeneza sumu kwenda tu ubalozini ingewezekana ikatosha tu kuonyesha ushilikiano lakini ilikuwa muhimu kuja kwa uhuru sio tu kwamba jumuiha bali ukanda wetu amna cha kupinga sisi ni ndugu wa jamii moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…