nyinyi ndo wale watu mnaenda na upepo tu, hamchukui time ya kujifikiria wenyewe.... hio nimekuekea ni PDF kutoka kwa EU website yenyewe, soma na uelewe mwanzo kabla hauja skiza kelele za watu...
alafu pia unafaa ujue EPA ilikua inajadiliwa mwaka wa 2007 si sawa na hii ya juzi ilio kubalika, pia EPA na EAC si sawa na EPA na WAC....
bidhaa zilizo pelekea Sameer kuhama inatokana na products za kutoka china ambayo imejaza vitu huku africa.... kama kweli unapinga bidhaa za kutoka nje basi ungeanza na za China..... kila kitu hizi nchi zetu ni made in china... mbona haulalamiki hizo siku zote???? hakuna vile tutakuza industry zetu kama china inauza kila kitu bila kuzuiliwa, angalau EU itakua controled, wakileta bidhaa nyingi tunawalazimisha wapunguze, tena wanalazimika kukuza industry zetu ili ziwe kiwango cha ku export bidhaa nyingi zaidi ambazo ziko international standards, itabidi tulazimike kufanya value addition ya bidhaa zetu kabla ya kuzituma ndo tuwe kiwango sawa... wakati huo huo china inaendelea kuchukua raw materials alafu wanaturegeshea kama matairi ya bei ya chini kusababisha kampuni kama sameer kufunga... na hakuna ata siku moja utaona wachina wakiandamana kwasababu ya hio, angalau hao wa EU wenyyewe watakua wakiandamana wakiona wanatuonea, watajilazimisha wenyewe kukuza kampuni zetu ili ziwe na uwezo wa kushindana na zao. Mchina hajali utalala na njaa ama utajitoa uhai, ye anakumwagia kila aina ya bidhaa hata tissue na vijembe, sikuhizi hawa wachina wanauza ata mahindi huku kenya, wamefungua maduka ya kuuza hata mbuzi za ku kunia nazi na vibao vya kukanda chapati vya plastiki,,,,