Uganda Ready to Sign EPA

Uganda Ready to Sign EPA

Acha kuniwekea ma paragraph ya Sheria kwa jambo ambalo liko wazi na Dunia nzima inalijua hilo pmj na EU yenyewe kuna watu na movements nyingi zinapinga EPA kwa Afrika mpaka wameanzisha STOP EPA kampeni ndani ya EU!

Ngoja nikuuulize swali moja ni kwa nini Sameer Industries anastop industrial production Kenya in favor of distributing ready made products kutoka nje?
nyinyi ndo wale watu mnaenda na upepo tu, hamchukui time ya kujifikiria wenyewe.... hio nimekuekea ni PDF kutoka kwa EU website yenyewe, soma na uelewe mwanzo kabla hauja skiza kelele za watu...
alafu pia unafaa ujue EPA ilikua inajadiliwa mwaka wa 2007 si sawa na hii ya juzi ilio kubalika, pia EPA na EAC si sawa na EPA na WAC....

bidhaa zilizo pelekea Sameer kuhama inatokana na products za kutoka china ambayo imejaza vitu huku africa.... kama kweli unapinga bidhaa za kutoka nje basi ungeanza na za China..... kila kitu hizi nchi zetu ni made in china... mbona haulalamiki hizo siku zote???? hakuna vile tutakuza industry zetu kama china inauza kila kitu bila kuzuiliwa, angalau EU itakua controled, wakileta bidhaa nyingi tunawalazimisha wapunguze, tena wanalazimika kukuza industry zetu ili ziwe kiwango cha ku export bidhaa nyingi zaidi ambazo ziko international standards, itabidi tulazimike kufanya value addition ya bidhaa zetu kabla ya kuzituma ndo tuwe kiwango sawa... wakati huo huo china inaendelea kuchukua raw materials alafu wanaturegeshea kama matairi ya bei ya chini kusababisha kampuni kama sameer kufunga... na hakuna ata siku moja utaona wachina wakiandamana kwasababu ya hio, angalau hao wa EU wenyyewe watakua wakiandamana wakiona wanatuonea, watajilazimisha wenyewe kukuza kampuni zetu ili ziwe na uwezo wa kushindana na zao. Mchina hajali utalala na njaa ama utajitoa uhai, ye anakumwagia kila aina ya bidhaa hata tissue na vijembe, sikuhizi hawa wachina wanauza ata mahindi huku kenya, wamefungua maduka ya kuuza hata mbuzi za ku kunia nazi na vibao vya kukanda chapati vya plastiki,,,,
 
Kafrican wamwekea mwafrika mzembe jarida akalisome....wapi na wapi?.... 😀😀😀TEHEHHEHEHEH!

Wenzetu hawa wamezoea hadithi za uswahilini tu....mwekee propaganda/hekaya za Abunuasi yatosha tu!
Kama walivyojazwa propaganda eti EPA ni tishio kwa EAC.
 
the chinies have flooded the market without control..... Literaly

china1.jpg
0fgjhs46jskaj9fva.e0441e77.jpg
china4.jpg
small (14).jpg
wpid-386c25d1b5ab8907a42d207ab45d2f1ba212644d7f899831aee1237dfcb80902.jpeg

Chinese fish floods Kisumu markets
 
Unaandika ujinga tu na mambo usiyoyaelewa! Kenya haina competitive industry yoyote ile ya kuuza EU isipokuwa Maua industry ambayo ni 100% foreign owned hivyo Wazungu wanataka kuuza Maua yao tax free na hamna kitu Kenya itapata kwa maana kama ni ajira Maua industry ni cheap labor, lkn Kenyan industries zenyewe haziwezi ku compete hata Sameer industries anafunga manufacturing industries Kenya in favor of distributing imported goods from abroad na hapo bado EPA haijasainiwa ...
I didn't talk about Kenya. dude, can you read? maybe am wasting my time.
 
nyinyi ndo wale watu mnaenda na upepo tu, hamchukui time ya kujifikiria wenyewe.... hio nimekuekea ni PDF kutoka kwa EU website yenyewe, soma na uelewe mwanzo kabla hauja skiza kelele za watu...
alafu pia unafaa ujue EPA ilikua inajadiliwa mwaka wa 2007 si sawa na hii ya juzi ilio kubalika, pia EPA na EAC si sawa na EPA na WAC....

bidhaa zilizo pelekea Sameer kuhama inatokana na products za kutoka china ambayo imejaza vitu huku africa.... kama kweli unapinga bidhaa za kutoka nje basi ungeanza na za China..... kila kitu hizi nchi zetu ni made in china... mbona haulalamiki hizo siku zote???? hakuna vile tutakuza industry zetu kama china inauza kila kitu bila kuzuiliwa, angalau EU itakua controled, wakileta bidhaa nyingi tunawalazimisha wapunguze, tena wanalazimika kukuza industry zetu ili ziwe kiwango cha ku export bidhaa nyingi zaidi ambazo ziko international standards, itabidi tulazimike kufanya value addition ya bidhaa zetu kabla ya kuzituma ndo tuwe kiwango sawa... wakati huo huo china inaendelea kuchukua raw materials alafu wanaturegeshea kama matairi ya bei ya chini kusababisha kampuni kama sameer kufunga... na hakuna ata siku moja utaona wachina wakiandamana kwasababu ya hio, angalau hao wa EU wenyyewe watakua wakiandamana wakiona wanatuonea, watajilazimisha wenyewe kukuza kampuni zetu ili ziwe na uwezo wa kushindana na zao. Mchina hajali utalala na njaa ama utajitoa uhai, ye anakumwagia kila aina ya bidhaa hata tissue na vijembe, sikuhizi hawa wachina wanauza ata mahindi huku kenya, wamefungua maduka ya kuuza hata mbuzi za ku kunia nazi na vibao vya kukanda chapati vya plastiki,,,,

Eti angalau EU itakuwa controlled kwa sababu ni Mzungu? Mwafrika hajifunzi kitu Mzungu katawala Afrika miaka zaidi ya 300 na hakuna siku Mzungu amemnufaisha Mwafrika tangu hii Dunia ianze, ni ajabu sana unaponda Uchina in favor of white man, nikuulize ni kwa nini Raisi wa Kenya Uhuru Kenya hakwenda kukopa fedha za kujenga SGR kwa Wazungu kama unafikiri wanawapenda sana? Au kwa nini kuanzia Nigeria mpaka Ethiopia kuna big infrastructure projects nitajie moja tu ambayo inafadhiliwa na white man, sasa iweje uje uwaamini kwenye hili kwa kuwa tu eti imeandikwa kwenye website, hayo mambo ya mikataba inatakiwa uwe Mtaalamu wa Mikataba ya Kimataifa yana technicalities zake siyo kila kitu ni black and white kama kilivyoandikwa!
Nigeria wamesaini EPA na sasa hivi wameshaanza kulia hasa kwenye upande wa local industries zao!

Nitajie tu one big infrastructure project iliyofadhiliwa na White man nchini Kenya baada ya Uhuru, moja tu!
 
Eti angalau EU itakuwa controlled kwa sababu ni Mzungu? Mwafrika hajifunzi kitu Mzungu katawala Afrika miaka zaidi ya 300 na hakuna siku Mzungu amemnufaisha Mwafrika tangu hii Dunia ianze, ni ajabu sana unaponda Uchina in favor of white man, nikuulize ni kwa nini Raisi wa Kenya uhuru kenya hakwenda kukopa fedha za kujenga SGR kwa Wazungu kama unafikiri wanawapenda sana? Au kwa nini kuanzia Nigeria mpaka Ethiopia kuna big infrastructure projects nitajie moja tu ambayo inafadhiliwa na white man, sasa iweje uke uwaamini kwenye hili kwa kuwa tu eti imeandikwa kwenye website, hayo mambo ya mikataba inatakiwa uwe Mtaalamu wa Mikataba ya Kimataifa yana technicalities zake siyo kila ni black and white kama kilivyoandikwa!
Nigeria wamesaini EPA na sasa hivi wameshaanza kulia hasa kwenye upande wa local industries zao!

Nitajie tu one big infrastructure project iliyofadhiliwa na White man nchini Kenya baada ya uhuru, moja tu!

Hapa panakaukweli mkuu!

Ahsante!
 
Back
Top Bottom