Wakenya, wakenya hawana lugha ya umoja, wana modified swahili.
Waganda wana Luganda, ambayo kule kwao ndio kama kiswahili ( wanashare baadhi ya maneno na wahaya)
Halaf kuna kiswahili, kule kwao always itakuwa ni second language if not third