Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

Wala haina tija, na haitabadili chochote. Kiswahili ni lugha iliyobeba umaskini, majunggu na umbea tu.

Ni lugha ambayo haina maarifa yoyote, kwasabb chimbuko lake ni kutoka kwa watu wasiokuwa na maarifa na teknolojia
 
Wakenya, wakenya hawana lugha ya umoja, wana modified swahili.
Waganda wana Luganda, ambayo kule kwao ndio kama kiswahili ( wanashare baadhi ya maneno na wahaya)
Halaf kuna kiswahili, kule kwao always itakuwa ni second language if not third
yakupasa uelewe Luganda inaongelewa central uganda wakat wengine hawaongei lugha hyo!!
 
Back
Top Bottom